Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

STD seven huyo uwezo wake wa kufikiri ni mdogo ila ana kipaji cha mipasho huwezi mlinganisha na msomi kama DR SLAA.
 
Wana Mtera mbunge wenu anafaa kujiunga na kikundi cha FUTUIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII?
 
Bora hata ya lusinde anasema ukweli mbona Lisu anaongea uongo wa kutunga kabisa lakini hujauona.
Uongo upi aliosema Lissu we Gamba, mmeambiwa mmechoka, mko hoi huu ni uongo kwani?
 
Mbona wapo waliokuwa na kifafa na wakadumu katika nafasi zao bila shida na hakuna aliyewahi kuwanyanyapaa. Maneno ya mtu kama Lusinde ni bora kuyachunguza sana kabla ya kuyafanya nukuu kwani yanaweza kuwa na damage upande wake bila yeye kujua

Hakuna sababu ya kuyachunguza maneno ya Lusinde, ni KUYAPUUZA tu
 
wazee,vikongwe , wagonjwa,wezi wa wake za watu ikulu marufuku

Hapo kwenye wezi wa wake wa watu umenikumbusha yule kada wa chama aliyelala na mke wa ustadh kule Igunga wakati wa uchaguzi mdogo. Naye ametangaza nia ya kuingia Ikulu huku akijinadi kuwa watu wanamuita "Sokoine" na wakati mwingine "Nyerere"
 
Mbona wapo waliokuwa na kifafa na wakadumu katika nafasi zao bila shida na hakuna aliyewahi kuwanyanyapaa. Maneno ya mtu kama Lusinde ni bora kuyachunguza sana kabla ya kuyafanya nukuu kwani yanaweza kuwa na damage upande wake bila yeye kujua

Najua Lusinde hawezi kufahamu, lakini ninaamini wapo wa-CCM wanaoweza kumtafasiria. Wazungu wana msemo unaokwenda hivi

Do not point a finger to others, because three fingers are pointing back to you

Au When you're living in a glass house, do not throw stones to others.

Sidhani hata yule aliyemlenga kumfurahisha kwa comedy hiyo atakuwa ameipokea vizuri hiyo comedy, kwani inamnyanyapaa.
 
Bora tuchague Rais Mzee ili muda wake ukiisha akalee wajukuu kuliko kumchagua Rais kijana na muda wake ukiisha atataka kujiongezea mda huku akijiona bado ni kijana.

Umemaliza kabisa kiongozi.. ujana wa kiafrika ni tabu kabisa.
 

Attachments

  • 1431584977104.jpg
    1431584977104.jpg
    21 KB · Views: 303
Wazee ndio kwanza watoto wanatambaa wajuku si itakuwa wamesha R.I. P?

Bora tuchague Rais Mzee ili muda wake ukiisha akalee wajukuu kuliko kumchagua Rais kijana na muda wake ukiisha atataka kujiongezea mda huku akijiona bado ni kijana.
 
wazee,vikongwe , wagonjwa,wezi wa wake za watu ikulu marufuku

Kuna mwanamuziki sijui anaitwa "BABU SEYA" yupo wapi siku hizi na mke wake nasikia aliolewa ila sijui na nani? Ila mngetukumbusha ata kale kawimbo chake vile...
 
Ila huyu mbunge angetakiwa awe kuli na sio mbunge. Hana lolote la maana anaongea zaidi ys matusi na vijineno hovyo.
 
Nilipomuona mtambo huyo Lusinde, ni pale ambapo Msigwa ametoka kuongelea kuwa hawaongelei kuchoka mwili(physically) bali sisiem wamechoka Mentaly, yeye anaanza kuongelea mambo ya mbio eti Kinana na Dr.Slaa rais mtarajiwa.
Pale ndiyo niliamini Lusinde ni Vuvuzela nothing in his head!
 
#Asadsyria Nitafute Kwenye Number 0755 445878 Nimeambiwa Unatafuta Kazi Ya Uhouse Girl Na Mimi Nina Shida Ya Mdada Wa Kazi
 
Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.

Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. Spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane.

Chanzo: RFA magazeti
ASSADSYRIA,Heshima kubwa kwako.
Naamini ume post kauli ya Lusinde ukiwa na mtizamo mfupi.Aidha umemlenga mgombea ndani ya CCM mabaye humtaki au wa kambi ya upinzani,yote yote ni kuwa Lusinde hakutafakari na wewe hukutafakari pia.
Na kwa kauli kama za Lusinde mnasababisha hata watu ambao kwa mila na desturi za waafrika tusingeweza kuwasema hadharani wasemwe na hata wajukuu zao.
Kuna kauli kama za uzinzi wa Dr Slaa ambazo CCM mlizishikia bango lakini mkasahau kuwa kuzaa nje ya ndoa ni certificate ya uzinifu.Chambua viongozi wa CCM waliokuwa na watoto wa nje ukianzia ofisi kuu.
Kuhusu ugonjwa,ni kweli kuwa si vizuri kumchagua mtu ambaye ni terminally ill lakini ugonjwa kama kisukari cha ukubwani ni tatizo amabalo mtu anaweza akaishi nalo hata kwa miaka ishirini na zaidi alimradi anafuata maelekezo ya wataalamu.
Kumshabikia mtu kama Lusnde ni kukaribisha watu tunaowaheshimu watukanwe jambo ambalo mimi siko tayari lakini kwa kuwa mtu kama Lusinde haoni mbali hajui impact wala repurcussion ya kauli yake.Tumsamehe bure!!!!!!
 
Back
Top Bottom