Benjamin Netanyahu
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 362
- 60
Babu slaa miaka 80 sasa anataka ikulu akafanye nini?bora miaka yake iliyobak ale maisha na girlfriend wake
Mkuu mbona mugabe ana miaka90 na mambo bado murua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babu slaa miaka 80 sasa anataka ikulu akafanye nini?bora miaka yake iliyobak ale maisha na girlfriend wake
kuna alianguka kama maratatu hivi hivi lakini yupo
lowasa kashiriki mbio za marathon nyingi tu hembu mbio zozote huyo babu padri ameshiriki
View attachment 251733
Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. Spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane.
Chanzo: RFA magazeti
Hili neno kumnanga mboa mlinatumika lisipostahili?
"Kunanga" nijuavyo ni kupamba kupita kiasi, sasa hapo Slaa kapambwa nini?
Afya ya slaa hatuna hakina nayo vip jk aliedondoka jukwaani mar2 afya yake ikoje?

lowasa kashiriki mbio za marathon nyingi tu hembu mbio zozote huyo babu padri ameshiriki
kama hana mbio mbona aliwatimua wasaliti na mkatimua mbio kuelekea ACT.:msela:lowasa kashiriki mbio za marathon nyingi tu hembu mbio zozote huyo babu padri ameshiriki
Mbona sifa zote hizi ni za mtu mmoja?wazee,vikongwe , wagonjwa,wezi wa wake za watu ikulu marufuku
lowasa kashiriki mbio za marathon nyingi tu hembu mbio zozote huyo babu padri ameshiriki
Ugonjwa gani mkuu?Dr Slaa anaumwa ugonjwa mbaya sana kumpa Ikulu ni kuhatarisha amani nchini kwani anaweza kuleta taharuki isio na ulazima.