Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

tujuze alisemaje kuhusu kifafa chake cha kuanguka
maana kuna kipindi hapo mjini bongo nilikuwa nakutana nae hindumandal hospital.. nikauliza manesi wakasema anakuja kuchukua dozeeee yake.

Heee utakuwa no hili chama tu
 

Attachments

  • 1431614842993.jpg
    1431614842993.jpg
    15.9 KB · Views: 163
Huwa naangalia BUNGE la Kenya..naona tofauti kubwa saana kati ya bunge lao na la kwetu.Nadhani wale wachache ambao wameishia darasa la saba wamewaharibu wale wenye elimu ya kuongoza.
 
Tuko pamoja katika mbio hizo za marathon kuzishinda akuitaji nguvu Bali akiri na weledi kufika pale
 
Sijawahi,,, sijawahi,,,, sijawahi..

-kusikia Slaa kaenda kutibiwa kiharusi Ujerumani.

-sijawahi kumwona akivuja mate kama EL.

-Sijawahi kusikia akiugulia mabusha... John Hopkins, Marekani.
 
Kama unataka kujua nani mgonjwa kamuulize Babu wa Samunge atakupa orodha ya walokunywa kikombe.
Waandishi nao mmmh! Hiyo ndo habari ya kukoleza kwa wino mweusi!! Agrrrrr
 
Kwani yule mkazi wa magogoni mwenye tatizo la kuanguka anguka alishapona?
 
Mhe. Livingstone Lusinde amewadondoshea dongo wale wanaoimezea mate nyumba nyeupe.

Je mnasemaje wadau kuhusiana na kauli ya Mbunge huyo.
 

Attachments

  • 1431629580822.jpg
    1431629580822.jpg
    42.7 KB · Views: 166
  • 1431629613129.jpg
    1431629613129.jpg
    100.4 KB · Views: 134
  • 1431629679551.jpg
    1431629679551.jpg
    72 KB · Views: 135
  • 1431629725901.jpg
    1431629725901.jpg
    43.4 KB · Views: 127
Kivipi ni jambo lisilowezekana Dr. Slaa kuwa Rais wa Tanzania ? Jaribu kufafanua Great Thinker!

Ni mzee sana,ni mgonjwa,ni muongo,ni mwanachama wa ccm,ni mzinzi,ni msaliti(kanisan),ni mlopokaji,ni limbukeni kwa kupekekwa na kilaza mbowe,ni mzee kijana,mlafi wa mlafi wa madaraka hii kaiga.
 
Hapa huyo mbunge mjinga atakuwa alikuwa anamsema Kikwete kwa mafumbo. Huyo mbunge ni mjinga tu kwani hakuna bianadamu asiyeugua. Mtu anaweza kuingia ikulu akiwa mzima kabisa lakini hapo katikati akaugua kama binadamu wengine wanavyougua. JK awamu ya kwanza hakuna aliyedhani anaumwa au atakuja kuugua. Baadaye alionekana hata akianguka hadharani na mwishowe akafanyiwa operesheni ya tezi dume. Sasa anataka kutwambia JK yuko ikulu na ameigeuza kuwa wodi kwasababu anaumwa? Mjinga kabisa huyo. Huyo mbunge pamoja na kuwa ana elimu ndogo lakini ni wazi kuwa hana busara kabisa. Wapo wabunge wenye elimu ndogo kama Prof Maji marefu lakini wanajiheshimu na ni huwezi kuwasikia wakitoa kauli za ovyo ovyo kama huyo anayeitwa kibajaji
 
Back
Top Bottom