mbogo31
JF-Expert Member
- Nov 28, 2008
- 711
- 173
Kuna watu walibeza uzee wa mzee Warioba pia,wakasema " haka kazee kameona kanakaribia kufa, sasa kanatakakutharibia nchi!" sote tu mashahidi, kulikuwa na mzee Mandela sote twajua aliapishwa kuwa rais akiwa na umri gani! mimi nafikiri watanzania kama kweli tunataka taifa hili lisonge mbele Dr Slaa ndiye anaefaa kuwa Rais ajae. ila kwa wale wanaofaidika na mfumo huu wa kifisadi hawataki hata kusikia habari hizi, wamejaa roho za ubinafsi, chuki na kujiona wao ndio waliumbiwa hii nchi, jamani hii nchi ni ya watoto wote wa Tanzania nakila mmoja wetu anayohaki ya kutawala na kuijenga nchi hii.
