Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Ndio tatizo la kupeleka bungeni watu waliokosa elimu kabisa!labda angefika hata form four tu angeweza kujitambua,sijawahi ona mbunge mjinga kama huyu,ni dharau na kebehi kwa watu wa Mtera kua na muwakilishi mwenye akili ndogo kiasi hiki!
 
Ni mzee sana,ni mgonjwa,ni muongo,ni mwanachama wa ccm,ni mzinzi,ni msaliti(kanisan),ni mlopokaji,ni limbukeni kwa kupekekwa na kilaza mbowe,ni mzee kijana,mlafi wa mlafi wa madaraka hii kaiga.

Great thinker I salute you umejitahidi sana kufafanua hoja yako kitaalam. We need Great thinkers like you here!
 
... Huyo Luzinde Ni Mpu Mbavu Sana, Au Anampga Vijembe Mwnykt Wake Wa Chama. Mbna Anaumwa Tezi Dume, Ukimwi Na Pale Magogoni Amepageuza Gest Na Pango La Wanyanganyi
 
Mbona wapo waliokuwa na kifafa na wakadumu katika nafasi zao bila shida na hakuna aliyewahi kuwanyanyapaa. Maneno ya mtu kama Lusinde ni bora kuyachunguza sana kabla ya kuyafanya nukuu kwani yanaweza kuwa na damage upande wake bila yeye kujua

Mtu aliyegombea jimbo na baba yake na kumfitini kisa apate ubunge hawezikuwa na akili.
 
wazee,vikongwe , wagonjwa,wezi wa wake za watu ikulu marufuku

Kumbe ndo mana umeleta kichwa habari kibovu kama akili zako,miaka hamsini ya uongozi wa akina Lusinde bado hujui Watanzania tumekosa na tunataka tubu pitia upinzani.....Au upo kwenye koma ya maharage sijui ya wapi?
 
N kwel kabsa lusinde yupo sahihi tumechoswa na hawa wanaotaman ikulu wakifkir kunagawwa pp kule.haiwezekan ushindwe kuongoza taifa la mungu Kama padri af utegemee kuongoza watu wenye itkad tofaut...kiboko yao n lusinde tuuuu
 
ww c lowasa Tu sema rais wa jamhur ya muungano wa Tanzania mh.Edward Ngoyai Lowasa,kiboko ya ukawa...
 
Dr Slaa anaumwa ugonjwa mbaya sana kumpa Ikulu ni kuhatarisha amani nchini kwani anaweza kuleta taharuki isio na ulazima.

Kama unakubali kwamba wapo watakaotaharuki hilo likitokea basi pia kubali kwamba anakubalika.. Lakini pia kumbuka kua hata huyo unaeamini ni mzima anaweza kufa pasipo kuugua sana.
 
Badala ya kujadili bajeti kwa weledi hawa wapuuzi wanaanza kuleta mijadala juu ya watu. Hakika haajui kuwa wanajitengenezea tanuru kwa matendo na kauli zao. Lusinde aandike bai bai mwaka huu.
 
Mimi ninawashangaa wapiga kura wa Lusinde, waliamua kutuma comedian bungeni amazes mee. Mkirudia october nitajua pa kuwaweka.
 
Hao mnaowaona hawana elimu ndio wanatekeleza ilani za uchaguzi zaidi na wapo karibu na wananchi zaidi. Wasomi wanaishia kwenye nadharia tu vitendo hakuna. Maprofesa wangapi wamebebwa kupewa uwaziri lakini utendaji hauonekani?
 
Kama unakubali kwamba wapo watakaotaharuki hilo likitokea basi pia kubali kwamba anakubalika.. Lakini pia kumbuka kua hata huyo unaeamini ni mzima anaweza kufa pasipo kuugua sana.

Lusinde akumbumbuke ya Komba na mzee Warioba. Achunge mdomo wake jimbo lake linaweza kuwa wazi kabla ya uchaguzi kwani hilo tumbo lake ni ugonjwa tosha.
 
N kwel kabsa lusinde yupo sahihi tumechoswa na hawa wanaotaman ikulu wakifkir kunagawwa pp kule.haiwezekan ushindwe kuongoza taifa la mungu Kama padri af utegemee kuongoza watu wenye itkad tofaut...kiboko yao n lusinde tuuuu

huna tofauti na LUSINDE
 
Hayo unayajuwa wewe, sisi hatuyajuwi.

Ukiwa muongo uwe na akili, eti "nikauliza manesi".

Na hao manesi hawajuwi maana ya siri ya mgonjwa hata wakueleze wewe kaja kufanya nini?

Huo ujinga wako kawadanganye misukule wenzio.

wewe FOXY wa LUMUMBA usiwe zombi kiasi hicho loh!! utadhani ulikaa nae au alikupangia chumba na wewe kujifanya unamjua saaaaanaaa...
nikuswalike hili ukamuulize jeee kale kabinti alikowahi kukapangia geto pale mtaa wa shimo la udongo aka KURASINI na halafu akakatunuku katoto kamoja je alihudhuria mazishi yakeee??
ukinipa jibu ntajua uko karibu nae vinginevyo funga hilo kalio lako usijihusishe usio yajua
 
Back
Top Bottom