Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Twende kwenye balance. Inawezekana kabisa Lusinde yuko sawa, maana wengi tumekuwa tunaona upande wa pili tu, ZZK na CCM. Bila kubadirika, tuna safari sana ya kuokoa taifa hili>

Ameuliza sera ya UKAWA iko wapi na ni kitu ambacho kila mtu anatakiwa ajiulize.
 
Maneno mengine bhana, ndo maana kuna watu walihoji humu kuwa mbona kuna wengine waliingia kwenye uongozi wakiwa na kifafa na wamedumu kwenye nafasi zao mpaka leo!
 
huyu nae atapata kiinua mgongo cha ubunge 300m, duu! nchi hii inasafari ndefu! kiukweli mimi sijaelewa alitaka kuongelea nini! mimi naona kama vile anahofu kubwa sana na Dr Slaa. sijui kwa nini! ikiwa ukawa wameshashindwa na ikiwa Dr Slaa Hafai sasa si ashangilie ushindi!? sasa kilio cha nini!!!?
 
Huyo ndie alotoa mfano wa gari likitumika kwa miaka 5 halitupwi bali linafanyiwa service sasa CCM iko madarakani kwa miongo mingapi, bado tunatakiwa kuifanyia service kweli?
 
Kama amekubali GARI LA CCM limechoka basi lafaa liuzwe au likafanyiwe overhaul.

Hakuna mahali CCM wamelipa pesa zao kama CCM hivyo kibajaji hana haki na anatakiwa aone AIBU kwamba toka awe MBUNGE hajawahi kuchangia senti yake kulipa barabara.Barabara,Hospitali,mashule nk vimejengwa kwa KODI ya MTANZANIA.

Kibajaji atuambie CCM imepata wapi pesa za kuleta hayo maendeleo?Maendeleo yenyewe yameishia kwenye mifuko yao.

Atueleze lini alipigia kelele pesa yake na marupurupu yake yakatwe kodai?

Asifikiri matanzania wa jana ndiyo wa leo.Siyo CCM wala TANU iliyoleta chochote TANZANIA bali kodi za wafanyakazi na wakulima.

CCM msitudanganye,hata yale majengo mnayojisifia nayo tulikatwa mishahara yetu.

Huyu Kibajaji hana mpya zaidi ni zilezile single za MIPASHO...........
 
Twende kwenye balance. Inawezekana kabisa Lusinde yuko sawa, maana wengi tumekuwa tunaona upande wa pili tu, ZZK na CCM. Bila kubadirika, tuna safari sana ya kuokoa taifa hili>

Ameuliza sera ya UKAWA iko wapi na ni kitu ambacho kila mtu anatakiwa ajiulize.

Serikali za shirikisho hazijaanzia Tanzania, na inavyoelekea wengi bado hawajaelewa maana ya UKAWA, ukawa sio chama, ukawa ni ushirikiano wa vyama, na hili jambo la kila chama kuja na sera zake ni mtindo mbaya sana, tunatakiwa tuwe na sera za kitaifa, yaani tuwe na vipaumbele kama taifa ili chama kinapotawala kinaendeshwa kwa utashi wa taifa.
 
Kwa kuwa ana mdomo anayo haki ya kusema... Lakini kujadili maneno ya Lusinde ni sawa na kujidhalilisha!!!
 
Ukawa wanaposema CCM imechoka wanakuja na data kutoka ndani ya report za CCM lakin akipanda ccm anakuja na chuki kumchukia mtu kutokana na umri eti slaa kachoka kwa sabab ni mzee, this is what? Ivi huyu Lusinde hakumbukii uongoz wa Mandela S.Africa??

huo mfano wa mandela ya huyo kibabu hailingani kabisa, mandela hakuwahi kupora mke wa mtu wala kubadili katiba kinyemela ili aendelee kuwepo kwenye chama wala serikali, muhula mmoja ulimtosaha kabisa.
 
Maneno mengine bhana, ndo maana kuna watu walihoji humu kuwa mbona kuna wengine waliingia kwenye uongozi wakiwa na kifafa na wamedumu kwenye nafasi zao mpaka leo!

kunya anye kuku akinya bata kaharisha, mnatabu sana
 
Hiyo kweli kabisa. Nchi haina kichwa wala miguu. Sasa ukiangalia kwa mbali utaona hata UKAWA ni CCM, maana hawana common understanding ya kimaendeleo zaidi ya kutaka kuiondoa CCM. Sasa mkifika huko mnafanya nini?

Hawajui....

Serikali za shirikisho hazijaanzia Tanzania, na inavyoelekea wengi bado hawajaelewa maana ya UKAWA, ukawa sio chama, ukawa ni ushirikiano wa vyama, na hili jambo la kila chama kuja na sera zake ni mtindo mbaya sana, tunatakiwa tuwe na sera za kitaifa, yaani tuwe na vipaumbele kama taifa ili chama kinapotawala kinaendeshwa kwa utashi wa taifa.
 
Twende kwenye balance. Inawezekana kabisa Lusinde yuko sawa, maana wengi tumekuwa tunaona upande wa pili tu, ZZK na CCM. Bila kubadirika, tuna safari sana ya kuokoa taifa hili>

Ameuliza sera ya UKAWA iko wapi na ni kitu ambacho kila mtu anatakiwa ajiulize.

Anaitakia nini ukiwa pale alipo hajui wala haelewi kuwa CCM siyo inayotoa pesa za barabara,hospitali wala shule.NI KODI zetu na ndizo pia wanazitafuna tu.

Na hata zile POSHO zake haelewi kwamba ni KODI zetu na hata siku moja hajachangia,anakula tu.......Watu kama hawa ni wa ku wa-NKURUNZINZA tu..........
 
Hiyo kweli kabisa. Nchi haina kichwa wala miguu. Sasa ukiangalia kwa mbali utaona hata UKAWA ni CCM, maana hawana common understanding ya kimaendeleo zaidi ya kutaka kuiondoa CCM. Sasa mkifika huko mnafanya nini?

Hawajui....

Kulinganisha ukawa na ccm sio sahihi, lengo la sasa la waliowengi ni mabadiliko na ndio maana UKAWA imekuwepo, ccm imepotea na haina dira, watu ni wale wale na wanafanya kazi kwa mtindo ule ule, imefikia wakati kama taifa tuanze upya, na hapo ndio umuhimu wa kuwa na UKAWA, waje watu wapya wenye mtizamo tofauti na hawa wa sasa. UKAWA lengo kuu kwa sasa ni kushika madaraka then ukiwa madarakani unaanza kuunda sera za kitaifa ukiwa unakusanya kodi!
 
Tumeongozwa na wagonjwa kwa miaka kumi..............Nukuu Lowassa............Ina maana kibajaji alikuwa hajui hili?

Huyu lusinde hata tofauti n mkundesimba istoshe huyu mzee wao afya yke mgogoro tu
 
Hiyo kweli kabisa. Nchi haina kichwa wala miguu. Sasa ukiangalia kwa mbali utaona hata UKAWA ni CCM, maana hawana common understanding ya kimaendeleo zaidi ya kutaka kuiondoa CCM. Sasa mkifika huko mnafanya nini?

Hawajui....

Ndugu KICHWA kiliuzwa kwa WACHINA na MIGUU kwa WAAMERIKA..................
 
View attachment 251733
Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.

Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. Spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane.

Chanzo: RFA magazeti

Hata kada maarufu naye kanangwa kireja reja!!

Ina maana mgombea wetu mpendwa nayeye mzima?
 
Hahahaaaaaaaa.Rafiki umeniongezea siku ambazo na serikali hii ya CHICHIEMU kwa kweli sizihitaji.Asante lakini maana kastree ka kazi kamekimbia.

Poa mkuu kesho tunasubiria walete wa2 hpa stadium n mabasi toka babati,monduli,meru etc kutangaza nia ila kiukweli afya yke c sawa anatembea kwa kuchechemea kma lyatonga
 
Back
Top Bottom