Ikulu sio wodi ya wagonjwa, Lusinde amnanga Dk. Slaa

Hi ndio inaitwa fukua fukua united; hongera kwa ufukuaji wa makaburi; anyway kama kuna mtu aliyepita Mtera then anaweza kuelewa ni kwanini walimchagua Lusinde kua mbunge wao; Mtera ni full masikini, ina nuka UMASIKINI mno and hope na UJINGA as well; Lusinde ingekua alizaliwa kwenye mikoa iliopiga hatua sidhani kama hata UDIWANI angepata, ndege wenye manyoya yanayo fanana huruka pamoja, that's it
 
Kama mnakumhuka,mwaka 2015 kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya CCM, Nape alisikika akisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa akimkejeli mmoja wa wagombea wa upinzani.

Kutokana na kauli hiyo na yaliyotokea,CCM mna la kujifunza na msipobadilika, mapigo yataendelea maana Mungu haangalii cheo wala wadhifa wa mtu.

Halafu huwezi amini wao leo ndio wanalalamika eti watu wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao wakati wao walimkejeli mtu alie hai.

Muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Kufuru
JamiiForums1731644044.jpg
 
Maneno huumba...
Mara kadhaa tulionya lakini "ulevi wa dola" huufanya ubongo kupoteza mwelekeo na mdomo kuporoja utakacho... wanapaswa kutubu wao na "mashangilizi wao"
Ila tusishangae maana picha yao halisi imebebwa na yule "kada wa moro"
 
Kama mnakumhuka,mwaka 2015 kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya CCM, Nape alisikika akisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa akimkejeli mmoja wa wagombea wa upinzani.

Kutokana na kauli hiyo na yaliyotokea,CCM mna la kujifunza na msipobadilika, mapigo yataendelea maana Mungu haangalii cheo wala wadhifa wa mtu.

Halafu huwezi amini wao leo ndio wanalalamika eti watu wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao wakati wao walimkejeli mtu alie hai.

Muda ni mwalimu mzuri sana.
Hawakudanganya, Ikulu siyo na wala haitakuwa wodi ya wagonjwa, ndiyo sababu iliyopelekea waseme yuko ofisini anachapa kazi! Mpaka Leo hakuna aliyekanusha ili waendelee kuwashikilia waliodanganya kuwa anaumwa wakati haumwi.
 
Majambazi sugu wa kutumia silaha za moto na magari yenye plate number za UN dhidi ya wananchi, ni kama wamevuliwa nguo mbele ya umma kwa huu msiba.

Akili zimechanganyikiwa zikiwaza sijui Mama atawalima panga nafasi zao ili warudi mtaani na raia watachukua sheria mkononi. Au watawajibishwa kwa kutumia sheria za nchi na mamlaka.

JamiiForums-939662035.jpg

Ole Sabaaya, hakujifundisha kwa waliomtangulia kina Makonda, na alisahau maisha ni kama gwaride, muda wowote Sir God anapiga kipenga cha "NYUMAAAAAAA GEUKA!!!", wa mbele anaeguka kuwa wa nyuma kabisa kwenye msafara.
 
Nguzo Yetu Imara Imeanguka
Umetuacha Imara Tanzania Salama
Mwendo Umeumaliza, Magufuli Lala Salama!!

Shujaa Wetu Shupavu Sasa Amelala!!
Amefanya Makubwa Yakuigwa Ya Mfano
Mungu Kwanini Umeruhusu, Mpendwa Wetu Alale
Mungu Akulaze Pema Peponi
................................................

Tumejifunza Kuwa Na Kiasi Kwa Jambo Lolote!!
 
Kama mnakumhuka,mwaka 2015 kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya CCM, Nape alisikika akisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa akimkejeli mmoja wa wagombea wa upinzani.

Kutokana na kauli hiyo na yaliyotokea,CCM mna la kujifunza na msipobadilika, mapigo yataendelea maana Mungu haangalii cheo wala wadhifa wa mtu.

Halafu huwezi amini wao leo ndio wanalalamika eti watu wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao wakati wao walimkejeli mtu alie hai.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

Kama aliyesema hivyo ni nnauye basi asamehewe kwani malezi yake hayakukamilika kama wengi walivyo
 
Hawakudanganya, Ikulu siyo na wala haitakuwa wodi ya wagonjwa, ndiyo sababu iliyopelekea waseme yuko ofisini anachapa kazi! Mpaka Leo hakuna aliyekanusha ili waendelee kuwashikilia waliodanganya kuwa anaumwa wakati haumwi.
Kumbe amekufa kwa ajali sio..!! Sikufikiria km mpo mliokuwa mnaamin JPM alikuwa ofisin[emoji848]
 
Kama mnakumhuka,mwaka 2015 kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya CCM, Nape alisikika akisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa akimkejeli mmoja wa wagombea wa upinzani.

Kutokana na kauli hiyo na yaliyotokea,CCM mna la kujifunza na msipobadilika, mapigo yataendelea maana Mungu haangalii cheo wala wadhifa wa mtu.

Halafu huwezi amini wao leo ndio wanalalamika eti watu wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao wakati wao walimkejeli mtu alie hai.

Muda ni mwalimu mzuri sana.

Yaani hili tukio limeleta funzo la nguvu. Siasa za kishenzi za ccm kwa tukio hili zimepata jibu stahiki.
 
Kama mnakumhuka,mwaka 2015 kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya CCM, Nape alisikika akisema Ikulu sio wodi ya wagonjwa akimkejeli mmoja wa wagombea wa upinzani.

Kutokana na kauli hiyo na yaliyotokea,CCM mna la kujifunza na msipobadilika, mapigo yataendelea maana Mungu haangalii cheo wala wadhifa wa mtu.

Halafu huwezi amini wao leo ndio wanalalamika eti watu wanafurahia kifo cha binadamu mwenzao wakati wao walimkejeli mtu alie hai.

Muda ni mwalimu mzuri sana.
Hiyo ilikuwa ni kampeini za uchaguzi tu; team Lowassa pia ilitakuiwa kutoa counterattack, lakini wajizimikia. Kampeini za uchaguzi zinatakiwa ziwe jino kwa jino
 
Back
Top Bottom