Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaonekana kugopa kivuli cha dr slaa,vipi akiingia madarakani si mtakunya mkaa?.dr ndiye rais wako kuanzia octoba.
wazee,vikongwe , wagonjwa,wezi wa wake za watu ikulu marufuku
Ikulu sio Olympic games.lowasa kashiriki mbio za marathon nyingi tu hembu mbio zozote huyo babu padri ameshiriki
lowasa kashiriki mbio za marathon nyingi tu hembu mbio zozote huyo babu padri ameshiriki
Mh. Lusinde amesema Ikulu sio wodi ya wagonjwa na kumnanga dk Slaa.
Awali ilielezwa ña mbunge mmoja kuwa zikianzishwa mbio kati ya Kinana,Maalim Seif na Slaa basi padri ataishia hospitalini kwa afya mgogoro. Spika nae akachagiza kuomba VIP marathon ili watu wasiofiti kiafya wajulikane.
Chanzo: RFA magazeti
ikulu kuna biashara gani hata watu wapakimbilie
Lusinde kasema kweli mzee slaa kachoka sana anafaa kukaa na wajukuu tu kwa sasa kama anao.
Hili neno kumnanga mboa mlinatumika lisipostahili?
"Kunanga" nijuavyo ni kupamba kupita kiasi, sasa hapo Slaa kapambwa nini?