Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
La hasha!Ikulu ya Dodoma imetekekezwa,punde itageuka mahame au makazi ya popo
Rais Samia anashida Dar au Tunguu Zanzibar.
Je huu ni uungwana?
Mwendazake alikuwa anatumia ya Chato na DarIkulu ya Dodoma imetekekezwa,punde itageuka mahame au makazi ya popo
Rais Samia anashida Dar au Tunguu Zanzibar.
Je huu ni uungwana?
Mbona ilishawahi kutelekezwa ikahamishiwa Chato na hukulalamika?Ikulu ya Dodoma imetekekezwa,punde itageuka mahame au makazi ya popo
Rais Samia anashida Dar au Tunguu Zanzibar.
Je huu ni uungwana?
Hivi Mbona mfano Kenya, Ruto hana Ikulu kule kwao Sugoi Elidoreti?Ikulu ya Dodoma imetekekezwa,punde itageuka mahame au makazi ya popo
Rais Samia anashida Dar au Tunguu Zanzibar.
Je huu ni uungwana?
Hata ningekuwa mimi... ntaachaje kukaa Dar nikapigwe vumbi Dodoma...Dar pazuri.
Bongo ujinga mwingi, tatizo KATIBA mkuu!!.Hivi Mbona mfano Kenya, Ruto hana Ikulu kule kwao Sugoi Elidoreti?
pesa za wajinga zinaliwa, na baadae anakija na swagwa za ku cancke sherehe za uhuru na pesa zitumike kwenye shughuri za maendeleo wajinga wa hili Taifa wana kenua meno sana, ilihali Raisi mwenyewe anaishi maisha sawa na yule Mke wa Mfarume wa Ufaransa kabla ya Frech revolution.Ikulu ya Dodoma imetekekezwa,punde itageuka mahame au makazi ya popo
Rais Samia anashida Dar au Tunguu Zanzibar.
Je huu ni uungwana?
Na mama naye kajiwekea karantini kuogopa Taifodi...Ikuwa haijakamilika
Pili alikuwa amejiweka caranteen kuogopa corona
Alie poteza pesa mlimfanyaje?Hata ningekuwa mimi... ntaachaje kukaa Dar nikapigwe vumbi Dodoma...
Wa kulaumiwa ni aliyepoteza hela ya kodi zetu kujenga Ikulu Dodoma...
Tulimwachia Mungu....Alie poteza pesa mlimfanyaje?
Kazi tunayopesa za wajinga zinaliwa, na baadae anakija na swagwa za ku cancke sherehe za uhuru na pesa zitumike kwenye shughuri za maendeleo wajinga wa hili Taifa wana kenua meno sana, ilihali Raisi mwenyewe anaishi maisha sawa na yule Mke wa Mfarume wa Ufaransa kabla ya Frech revolution.
Samia anaishi maisha ya anasa sana na pesa za wajinga wa hili Taifa.
Domdom kuna jua kali na upepo unaopausha ngozi.Mvumilie tu.Ikulu ya Dodoma imetekekezwa,punde itageuka mahame au makazi ya popo
Rais Samia anashida Dar au Tunguu Zanzibar.
Je huu ni uungwana?