Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

Uzuri wa Dar au Zanzibar Bi mkubwa anaweza kutoka hata nje jioni akawa anapunga upepo wa bahari akiwa anapata kikombe cha kahawa na haluwa ana relax. Sasa jiwe mlikuwa mkimzingua anaenda kulala juu ya mawe kule Dodoma 🤣
 
Ila yule mzee kiboko.Alikuwa anajilaza kwenye mawe mkimtibua.Alale mahali pema peponi hayanane!
 
Mh Rais Ikulu ya Dodoma haikuwa kipaumbele chake..
Tungemuacha amalize hii Awamu then agombee Nafasi ya Urais na tusikie vipaumbele vyake.. Na baada ya hapo ndio tutaangalia kipi anatekeleza na kipi kitamshinda Ila kwa sasa Mh Rais MWENYEZI MUNGU AENDELEE KUKUJALIA AFYA NJEMA, NGUVU NA MAARIFA ILI TUMALIZIE IKI KIPINDI SALAMA. Amen
 
Back
Top Bottom