Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

Inchi inamambo mengi hii, subiri na mimi nie Rais ya kwangu naipeleka mpakani mwa Rwanda na Tz ndo mtajua hamjui, huu utaratibu sio kabisa
 
Mbona muda mwingi akanakua Dodoma au huwa halali Ikulu analala Lodge?
 
mim nakukatalia. kila mkoa una ikulu na zinahudumiwa vizur tu. what is your problem? hiv wa mkoa gan sijui mfano singida ikulu ipo pia wasemeje? haya hio tu guu unayoisema kwan ya leo? si miaka toka uhuru ipo na wala ilikua hailalamik usifosi kila kitu unataka kuandika.
 
Uzuri wa Dar au Zanzibar Bi mkubwa anaweza kutoka hata nje jioni akawa anapunga upepo wa bahari akiwa anapata kikombe cha kahawa na haluwa ana relax. Sasa jiwe mlikuwa mkimzingua anaenda kulala juu ya mawe kule Dodoma [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom