Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawapo pale kuinjoi maisha.Wawatumikie watu.Dodoma hapavuti kukaa sana mkuu kama unajiweza sana kifedha, Dar es Salaam na Zanzibar ndio miji ya ku enjoy maisha.
🤣🤣🤣🤣 Ila we mzeeNa mama naye kajiwekea karantini kuogopa Taifodi...
Kila mtu ashinde mechi zake....
Nimekumisi kipenzi. Mimi bado nakupenda🤣🤣🤣🤣 Ila we mzee
Lete picha katika vipindi tofauti tuone.Ikulu ya Dodoma imetekekezwa,punde itageuka mahame au makazi ya popo
Rais Samia anashida Dar au Tunguu Zanzibar.
Je huu ni uungwana?
Hivi mbona naona akiiongea siku hizi anakosha koo mara kwa mara, vipi tena?!Na mama naye kajiwekea karantini kuogopa Taifodi...
Kila mtu ashinde mechi zake....
Inategemea na huyo Rais yupo nchi gani.Kazi ya Rais ni kuenjoy au kutumikia wananchi
Yote mawili, kazi na bata.Kazi ya Rais ni kuenjoy au kutumikia wananchi
Kazi na bataHawapo pale kuinjoi maisha.Wawatumikie watu.
Gentleman,Ikulu ya Dodoma imetekekezwa,punde itageuka mahame au makazi ya popo
Rais Samia anashida Dar au Tunguu Zanzibar.
Je huu ni uungwana?
Kwani hatukuambiana ..."kazi iendelee"?Bata wakaogelee.Kazi na bata
CCM ni hatari kwa nchi hiiIkulu ya Dodoma imetekekezwa,punde itageuka mahame au makazi ya popo
Rais Samia anashida Dar au Tunguu Zanzibar.
Je huu ni uungwana?
Maji kutoka bwawani Mtera?Vumbi linaingiaje ikulu,maji ya ikulu yako purified
Viongozi wetu wanatukosea kwa kweliShida ya nchi hii kila mtu anakuja na uongozi wake naawazo kichwani,kuna wakati Magu alimwapisha waziri barazani kwake Chato.Katiba kwenye hizi nchi zetu ni muhimu sana.Haya mambo ndio yanasababisha hata madeni makubwa.Dodoma imejengwa kwa gharama kubwa sana