Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

Ikulu ya Dodoma imetekekezwa?

Rais Samia anatumia zaidi ya Dar es Salaam au Tunguu Zanzibar.

Je huu ni uungwana?
Soon, ikuu itahamishiwa kizinkazi mwanangu ndo tukome na kukomaa. Kuna watu hawafai hata kuongoza kundi la funza mwanangu.
 
Dar pazuri.
Mama Samia si wa kwanza,Raisi Nyerere mwanzilishi wa Makao makuu Dodoma 1975 alikaa siku kidogo tu pale Chamwino nadhani alikosa kuangalia mameli yakipita ferry na amsha amsha ya Dar akafanya U TURN akarudi Dar hadi anastaafu 1985.
Kaja mkereketwa mwingine Mjomba Magu alikuja kwa mbembwe na vitendo na kweli kahamisha Wizara zote,baadae nae akahamia lakini baada ya muda kidogo tu.akahamishia shughuli za Ikulu Chato.
Wale wengine Mzee Ruksa,Mkapa na Kikwete wao walijua Ikulu ni Magogoni wala si Chamwino.
 
Tanzania ina Ikulu 2 + Ikulu ndogo ya Zanzibar, sass tunataka rais wetu azikalie zote tatu kwa mpigo, ha ha ha, Ikulu fulani itatumika kutokana na tukio fulani na ukaribu wa hafla husika, nashauri Ikulu ya Dodoma itumiwe zaidi na makamu wa rais, Dr mpango ili kufanya active, huku rais wetu katika utendaji wake akionelea wapi akatimize jukumu lake kutokana na ukaribu wa tukio husika
 
Back
Top Bottom