Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

Ikulu ya Dodoma imetelekezwa? Rais Samia anatumia ya Dar es salaam na Tunguu Zanzibar

Ikulu gani iko kijijini? Ikulu imezungukwa na squatters yaaani ukienda ikulu unakuwa kama unaelekea kwenye kijiji cha wavuvi kisichoeleweka.

Dodoma wamesha mess up big time. Ikulu inatakiwa kuzungukwa na neighborhood ya maana, mitaa misafi iliyopangwa vizuri na yenye majengo yanayovutia.

Inaelekea Samia kajua kuwa nikialika mgeni akija huku akifika tu sehemu ambayo ikulu ipo ananidharau kwanza ndo mana kaamua kuonana na wageni wake Dar na Zanzibar
 
Uzuri wa Dar au Zanzibar Bi mkubwa anaweza kutoka hata nje jioni akawa anapunga upepo wa bahari akiwa anapata kikombe cha kahawa na haluwa ana relax. Sasa jiwe mlikuwa mkimzingua anaenda kulala juu ya mawe kule Dodoma 🤣
Kwakweli 😂
RIP JPM 🙏
 
pesa za wajinga zinaliwa, na baadae anakija na swagwa za ku cancke sherehe za uhuru na pesa zitumike kwenye shughuri za maendeleo wajinga wa hili Taifa wana kenua meno sana, ilihali Raisi mwenyewe anaishi maisha sawa na yule Mke wa Mfarume wa Ufaransa kabla ya Frech revolution.

Samia anaishi maisha ya anasa sana na pesa za wajinga wa hili Taifa.
King Luis,na Marie Antoinette 🤣😀🤣😀🤣
 
pesa za wajinga zinaliwa, na baadae anakija na swagwa za ku cancke sherehe za uhuru na pesa zitumike kwenye shughuri za maendeleo wajinga wa hili Taifa wana kenua meno sana, ilihali Raisi mwenyewe anaishi maisha sawa na yule Mke wa Mfarume wa Ufaransa kabla ya Frech revolution.

Samia anaishi maisha ya anasa sana na pesa za wajinga wa hili Taifa.
Hakuna rais anayeishi kimaskini hapa duniani. Hayati alitumia sanaa ya kula mahindi njiani ili aonekane ni mtu wa kawaida lakini mamlaka yake ya kikatiba yalimpa uwezo wa kuwa bilionea muda wowote ule.

Punguzeni roho za kilofa hizi.
 
Siku hisi JF udaku mwingi.
Ukiwa kama great theanker,unapaswa kurlezea nini madhara,nini faida ya sehemu hizo sio majina TU.
Udadavue faida kwa nchi ni nini kwa ukubwa wake.
 
Ikulu ya Dodoma imetekekezwa?

Rais Samia anatumia zaidi ya Dar es Salaam au Tunguu Zanzibar.

Je huu ni uungwana?
IKULI ya Dodoma ipo kisiasa, ki ukweli hakuna Rais atapenda kuishi Dodoma. Hata hao watendaji wapo huko Dodoma sababu hawana namna yoyote na ndiyo maana SGR ya Ijumaa kuja Dar ni nyomi na ya J3 kurudi Dom ni nyoni.

Kifupi kuhamia Dodoma ni mzigo kwa nchi.
 
Dodoma hapavuti kukaa sana mkuu kama unajiweza sana kifedha, Dar es Salaam na Zanzibar ndio miji ya ku enjoy maisha.
Kweli kabisa.....na watumishi wanajiweza sana, acha wale maisha. Thanks to the taxpayers!
 
Back
Top Bottom