Ikulu ya Kenya yatumia mkaa kupikia chakula cha rais na wageni wa kitaifa.

kama sio mpishi utajua.kuna vyakula vyengine kama kuchoma nyama,kuoka,mishikaki.
mbona sio habari naona una kuza tu jambo
Taja ikulu yoyote hapa duniani inayotumia mkaa, unadhani dunia hii inaendeshwa kienyeji?, kwasababu wewe upishi wako umejifundisha kutumia mkaa unadhani hiyo ni kawaida?. Tunapozungumzia "state house" ni vitu tofauti na mapishi yako ya huko vichochoroni, hata hotel za kimataifa hazitumii mkaa, vipi unadhani ni kawaida kwa state house kutumia mkaa, hasa ukizingatia nchi kama ya Kenya inayopambana kulinda misitu yake?
 
Hahaaa.......You need to get out of vichochoroni and get some exposure my friend.
Wakenya kwa kawaida wanapenda Nyama choma na mvinyo wakati wa sherehe.
Tunavyo mjua Uhuru Kenyatta pia yeye anapenda sherehe za aina hii
Kule ulaya nyama choma hujulikana kama 'barbeque'' wao pia hutumia makaa kuiandaa.
huyu hapa ni obama akiandalia wageni wake berbeque pale whitehouse



 

Attachments

  • 1562832446902.png
    20.7 KB · Views: 15
Chakula kilichopikwa na mkaa au kuni kitamu sana kuliko cha kupika na gesi.
Utabisha ila ukweli ni huo
 
Nafikiri mmeelewa ila mnajipumbaza.

Wakati serikali zikipiga vita matumizi ya mkaa, kumbe nyuma ya Pazia serikali ya Kenya inafanya ivo. Maana yake nini? Wananchi nao kuendelea kutumia mkaa tena this time kwa speed kubwa maana serikali yenyewe imeonesha unafiki wake kwenye hii vitu. Miti kukatwa ovyo kwa ajili ya kuni..... na kuendelea
 
pia kuna berbeque roadtrips na resturants kule ulaya
hapa kenya mikahawa kama vile carnivore imepata umaruufu mwingi na wageni kwa kuandaa nyama choma
 
Kinachohitajika ni kueleza kwa nini unatumika mkaa au kuni. Nyama za kuchoma huwa nzuri zaidi zikichomwa kwa mkaa au kuni kuliko kubanikwa kwenye jiko la umeme. Hata kwenye mahoteli ya nyota tano unakuta kwenye "menu" nyama liyochomwa kwenye mkaa. Kwa hiyo si ajabu kwa Ikulu ya Kenya kutumia mkaa na kuni. Hilo linakuwa tatizo kama tu tunaangalia kutunza mazingira.
 
The government was against illegal logging In forests and has not lifted the ban .
However ban on charcoal trading was to last for 3 months and was lifted last year.
So I don't see what you are trying to imply here.
 
Acheni ushamba ninyi wakenya, onyesha kwa ushahidi kwamba Ikulu yoyote inatumia mkaa, nani aliyekuambia hilo jiko hapo analotumia Obama kwa kuchoma nyama linatumia mkaa?. Ninyi ni washamba sana, badala ya kujenga hoja ya kujitegemea, lazima mtaje wazungu au USA ili kuonyesha uhalali wa mapungufu yenu, kweli Kenya ninyi ni vibaraka wa wazungu. Hakuna ikulu yoyote hapa duniani inayotumia mkaa, hata hilo jiko analotumia Obama, ninauhakika linatumia gesi.
 
The government was against illegal logging In forests and has not lifted the ban .
However ban on charcoal trading was to last for 3 months and was lifted last year.
So I don't see what you are trying to imply here.
So you think you are well informed than all Standard media journalists?. That is Kenyan mental disease, very common to nearly 95% of Kenyans, too much know.
 
Hahaa Sasa kutumia makaa ni ushamba na kutumia gesi ni ustaarabu?...for your information makaa ata si technology ya mwafrika .
Kule marekani makaa huuzwa kwenye supermarkets,ikiwa packaged. kampuni moja tajika inayo uza makaa huitwa Kingsford charcoal.
Pia Mbunge wa Thika mjini ana miliki kiwanda kinachotengeneza na kupackage makaa kutoka kwa maganda ya Macadamia .Na kuyauza ughaibuni.
Pia nenda Amazon u search charcoal utapata makapuni kadhaa ya marekani yanayo uza makaa na hata grill za makaa
hili ndilo jiko la makaa lilokuwa likitumika na Obama
 
Wachana na huyo jamaa. Anadhani makaa ni mbaya eti gesi ni nzuri. Ameshangaa kuona Watanzania wenzake wanamwambia makaa ni nzuri. His fellow countrymen are saying food cooked with charcoal tastes better
 
Hivi wewe unamatatizo gani?, wewe unaabudu wazungu kuliko hats Mungu, kweli " Kenya not yet Uhuru ". Tafadhali jenga hoja yenye kujitegemea acha kutumia wazungu kama kigezo cha maendeleo, jinga kabisa ninyi.

Ukweli ni kwamba, matumizi ya kuni au mkaa kama" source of Energy" ni ukale "Primitivity". Mkaa unaouzwa Supermarket sio mkaa unaotokana na miti, unatokana na kugeuza uchafu kuwa mkaa.

Kiukweli hata huo mkaa unaouzwa huko Super market, sio kwa ajili ya daily regular uses, hao wabubuzi ni kwa ajili ya mambo na siku maalumu, ni ajabu na aibu kwa Ikulu ya nchi kutangaza Tender ya mkaa kwa ajili ya matumizi yake.
 
Haya basi
 
Vipi mshamba? Umeambiwa utoke huko vichochoroni upunguze ushamba.
 
Hata huku ulaya tunatumia makaa kupika nyama zetu mnafiki wewe. Kwanza tunawaalika waTzed wenzako (Haya na Wasukuma wapo huku ) wanakuja kula ugali ,githeri na nyama zetu sana sana.
Sasa unafikiri huo ni mkaa wa kuni? Ushamba tu,
 
Nyama choma lazima ipikwe na makaa.
Nyama choma bila makaa sio nyama choma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…