Hahaa Sasa kutumia makaa ni ushamba na kutumia gesi ni ustaarabu?...for your information makaa ata si technology ya mwafrika .
Kule marekani makaa huuzwa kwenye supermarkets,ikiwa packaged. kampuni moja tajika inayo uza makaa huitwa
Kingsford charcoal.
Pia Mbunge wa Thika mjini ana miliki kiwanda kinachotengeneza na kupackage makaa kutoka kwa maganda ya Macadamia .Na kuyauza ughaibuni.
Pia nenda Amazon u search charcoal utapata makapuni kadhaa ya marekani yanayo uza makaa na hata grill za makaa
hili ndilo jiko la makaa lilokuwa likitumika na Obama
View attachment 1151105