Ikulu ya Kenya yatumia mkaa kupikia chakula cha rais na wageni wa kitaifa.

 
Joto la jiwe ni mjinga sana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naoan anapigaa katika uzi wake
 
Bwahahaaaaaa...nyama choma lazima wakenya tutumie makaa...jiko liko standby...utaumia sana...

Kisha unasema etii kulinda mazingira...we ushaenda chato kw magu ukaona km ywatumia jiko la aina gani kwanza
 
Kwani mlitaka wachemshe maharagwe na githeri kwa kutumia gas!!!
 
Chakula cha kwenye kuni na mkaa ni kitamu vibayaaa
 


Mimi nilidhani kwa kupikia mkaa chakula hakiivi !!!??🤣🤣, watu wanapikia mavi makavu ya ngo'mbe ,!!
 
unajua wanaroast vutu, they may also BBQ kwa social events
 
Huu sio mkaa wa kuni acha ushamba jamani huu ni lump charcoal unatengenezwa na wood dust na materials nyingine ambazo ni environmental friendly.
Wewe ndio unaongea kama mshamba kutoka mwisho wa dunia kule Mtwara ama Lindi.Bado huo mkaa una miti ,mawe ya Limestone,madini ya Borax na kemikali zinatumika.Hizi ingredients zote zinavuruga mazingira kuliko mkaa wetu wa kawaida.Tena ongeza stima yote inayotumika kutengeneza hizi maka utaona net effect ni mbaya zaidi kuliko mkaa wetu wa miti pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…