Ikulu ya Marekani: Mike Pence ampongeza Maxence Melo kwa unadhifu wake

Hakuna mwana Lumumba anaye weza kufikia levo hiyo. Wakina Polepole hapo ni kina kirefu. Wote wapiga filimbi pale Lumumba hapo ni kina kirefu sana.

Sana sana wanaweza tu kukutana na watu wa kununua hasa madiwani na wabunge basi
 
Hongera sana. Huyu jamaa amepigana sana kwa ajili yetu.

Ni bahati mbaya sana Ng'ombe zangu kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) zimesombwa juzi na Maji ya Mvua ile ya Mafuriko na sasa wameshakuwa ' Kitoweo ' cha Kutukuka cha Mamba Mto Mara na Ziwa Victoria ila nilipanga kwa Kazi yake Kubwa anayoifanya Kwetu na kwa huu Mtandao wangu pendwa 24/7 basi ningempa angalau hata tung'ombe tuwili tutatu hivi.
 
Kwahiyo beberu mike pence anajua wabongo sio wanadhifu?

Melo naye kwahyo mazungumzo yote waliyoongea ndio anapost kusifiwa unadhifu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…