Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Uchaguzi 2020 Ikulu ya Marekani: Tutapitia tuhuma na kuwawajibisha wanaohusika na ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania

Uhuru wetu kama nchi ni muhimu sana kuliko hao Wamarekani na hao Vibaraka wao. Tutaendelea kupambana kama kawaida.

Wakati wewe unaumiza vidole vyako kubishana hapa, wenzako wanakwenda huko huko Marekani kuomba hela

Sasa wewe endelea kuaminishwa Hiko unachokiamini
 

Attachments

  • 2020-10-03 11.21.32.png
    2020-10-03 11.21.32.png
    1,017.4 KB · Views: 2
These irregularities call into question Tanzania’s commitment to democratic values. While the Tanzania Election Commission declared President Magufuli on October 30 as the winner of the presidential contest, we remain deeply troubled by the impact of these irregularities and violence on the results.
Yaani hawa mabeberu wana wasi wasi kama kweli tunathamini demokrasia. Pia wana imani kuwa mazagazaga na utumiaji nguvu uliotokea kwenye uchaguzi wetu umechangia ushindi wa CCM. Kwa lugha rahisi hawa amini kuwa CCM ilishinda uchaguzi huo.

Kwa lugha rahisi hawa ni wa kupuuzwa, lakini kumpuuza kaka mkubwa ni kujitakia madhara makubwa ambayo hujui yanatokea wapi. Tusipokuwa na mikakati naona tutawaunga zimbabwe na sijui nani atatutetea.
 
Meko huko alipo ana leso la kufutia upara hata kwa baridi hili la makambako yeye kijasho chembambaaa humtoka.
 
Kwa Vigezo vya Mabeberu wa Kimarekani, Sie Tanzania tuna ukiukwaji Mkubwa wa Demokrasia na haki za Binadamu kuliko Mashoga zao wa Saudia

Sie na Magufuli wetu wao na kina Pompeo wao!

2025 Inshallah wataambulia Asilimia 1 ya kura zote wakashtaki tena
Ndug yang hujui utendalo,inaonekana wewe ni mchumia tumbo tu kama wengine kwahiyo sikulaumu!
 
Bila Bombs hasikii MTU, mwafrika bila kichapo hasikii. Haya matamko ni bure Kwa madikiteita
Yaani nyinyi vibaraka tunawasubiri kwa hamu sana siku inaaza tu hiyo bombs unazozisema tunawafuata kwanza nyinyi vibaraka. Duniani kote vibaraka hawajawahi kuongoza ama kutawala nchi kwa mafanikio bali mwisho wao ni mbaya sana tu. Angalia Misiri, Libya, Iraq nk. Vibaraka waliingizwa na Marekani lakini mwisho wao ni vifo vya aibu tu. Kwa hiyo na wewe kibaraka be prepared.
 
Meko huko alipo ana leso la kufutia upara hata kwa baridi hili la makambako yeye kijasho chembambaaa humtoka
Wala hana wasiwasi hata wakati kabla hatujapiga kura mlisema maneno haya haya kuwa atashindwa lakini sasa hivi vibaraka wote ndiyo wanaopumulia mipira eti Lissu alikuwa anasema ataingiza watz barabarani lakini sasa hivi amekosa hata mtu mmoja wa kumwingiza barabarani. Tayari amenyooshwa!
 
Wimbo wa Amsterdam ft. Lissu umeshuka kutoka nafasi ya kwanza kwenye chati ya top ten ya wiki hii hadi nafasi ya 8, sasa ni Commonwealth , USA Embassy na White House..hahahahaha! CHADEMA nje ya mitandao ya kijamii ni wepesi sana, mkimaliza USA, UK, nenda kwenye matambiko.

Siku hizi mbona hakuna tena matamko mfululizo kutoka CHADEMA?
 
Tutaifanya hii nchi iwe free, hapahapa na tunasaidiana na wamarekani. Tulikuwa hatuna mtu kama lisu sasa tuaye. Na tupo wengi kweli. Wote ni vichwa kama lisu. Msifikirie huu ni utani.

Niliye m'quote ndio amekutuma uje unitukane?

Haya nendeni kashirikianeni Kwenye Ofisi zao sio humu

Usiwe mpumbavu Nenda kashiriki kwa vitendo sio Maandishi
 
Zile kauli za kebehi kwa Jk kusema Hatutaki Rais Mwanasiasa sijui tunataka Rais Dikteta zimeyeyuka kama theluji kwny Jua kali!
Ndug yang hujui utendalo,inaonekana wewe ni mchumia tumbo tu kama wengine kwahiyo sikulaumu!.
 
Wala hana wasiwasi hata wakati kabla hatujapiga kura mlisema maneno haya haya kuwa atashindwa lakini sasa hivi vibaraka wote ndiyo wanaopumulia mipira eti Lissu alikuwa anasema ataingiza watz barabarani lakini sasa hivi amekosa hata mtu mmoja wa kumwingiza barabarani. Tayari amenyooshwa!
hebu ondoeni zuilio la polsisiem
muone kama barabara zitatosha
issue ni kwamba sisi hatutaki makabiliano na polisi wenu kwa sasa hadi tutapojiandaa kimakabiliani
 
Back
Top Bottom