Ukraine ina mobilization kubeba vijana kilazima inakubalika kikatiba na kimataifa wanafanya hivyo miaka yote ya vita. Russia imewaburuza vijana 300,000 kwenye mobilization mwaka jana na hadi sasa vita haijashinda. Hapo ukiongeza wanajeshi 200,000 walioanza vita unapata zaidi ya wanajeshi 500,000 wa Russia wameshiriki, superpower eti.
Wewe ushaona wanajeshi wa Ukraine wanafanya uwendawazimu wa hivi?