Tetesi: Ikulu ya Marekani yatangaza dawa dhidi ya Corona, shukrani sana wazungu, mbarikiwe

Aidha taasisi ya vyakula na dawa imesema kuwa dawa hii imeonesha maajabu M akubwa ya kutibu corona nchini humo na kulishauri shirika la WHO kuuidhinisha dawa hii kuwa dawa ya kutibu corona duniani
Unajua Tanzania tumelala sana!

Hivi baada ya Mheshimiwa Mtukufu wa Rais wa Jamhuri kututhibitishia kwamba kujifukisha mvuke kunatibu coronavirus, huku waziri wetu mwingine akishauri pawepo na Wiki ya Nyungu... hivi mamlaka zetu zimefanya jitihada za kuwaambia WHO kuidhinisha hii tiba?!
 
Wa Madagascar alipotangaza amepata dawa na raia wanapona waafrika wenzie mmeungana na wazungu kuisubiri ya wazungu na sasa mnawashukuru

Alieturoga amefanikiwa sana.
Huyo Madagascar alisubiri nn kuisambaza Africa hio dawa
 
Dawa ilikuwa itumike kutibu Ebola walishaifanyia kazi na ikawa tayari miaka mingi sasa. Habari nzuri sasa imekuja kuwa ya Covid-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…