Unajua Tanzania tumelala sana!Aidha taasisi ya vyakula na dawa imesema kuwa dawa hii imeonesha maajabu M akubwa ya kutibu corona nchini humo na kulishauri shirika la WHO kuuidhinisha dawa hii kuwa dawa ya kutibu corona duniani
Hivi baada ya Mheshimiwa Mtukufu wa Rais wa Jamhuri kututhibitishia kwamba kujifukisha mvuke kunatibu coronavirus, huku waziri wetu mwingine akishauri pawepo na Wiki ya Nyungu... hivi mamlaka zetu zimefanya jitihada za kuwaambia WHO kuidhinisha hii tiba?!