Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trials were done in Africa secretly hahahaha!Waendelee kujitibia vifo vipungue na vikome huko marekani kabla haijasambazwa kwingine
Kila nchi ilipie License ili izalishe hiyo dawa kwa ajili ya watu wake badala ya kutegemea nchi moja tuu.Hatimaye ikulu ya Marekani yatangaza ufaulu wa dawa dhidi ya Corona, mzungu amekomaa mpaka mwisho, mbarikiwe sana wanasayansi wa Marekani, dunia itawakumbuka daima kwa kutuokoa, haya fanyeni mchakato wa kuileta huku Afrika maana ndio kirusi kimeanza shughuli yake huku na kiukweli sisi hatuna chochote zaidi ya kufukiza, tumeanza kupukutika, hatuna mchango wowote kwenye mambo kama haya yanayohitaji matumizi ya ubongo.
================================
WHITE HOUSE - An experimental drug has proven effective in treating COVID-19 patients, the head of the U.S. National Institute of Allergy and Infectious Diseases, Dr. Anthony Fauci, announced Wednesday.
“Remdesivir has a clear-cut, significant positive effect in diminishing the time to recover,” Fauci told reporters in the White House Oval Office. “A drug can block this virus.”
An international randomized placebo control trial at his institute started February 21 with hundreds of hospitalized coronavirus patients, Fauci said.
Recovery time was 11 days for those given the drug compared with 15 days for patients given a placebo, according to the NIAID and its parent agency, the National Institutes of Health.
“Whenever you have clear-cut evidence that a drug works, you have an ethical obligation to immediately let the people who are in the placebo group know so that they can have access, and all of the other trials that are taking place now have a new standard of care,” Fauci told reporters.
'Beacon of hope'
“Today’s promising news from the NIH remdesivir trial is a beacon of hope for all Americans and everyone around the world waging war on the COVID-19 pandemic,” said Health and Human Services Secretary Alex Azar in a statement.
Remdesivir, manufactured by Gilead Sciences, is given intravenously and designed to interfere with an enzyme that reproduces viral genetic material. In animal tests against severe acute respiratory syndrome (SARS) and Middle East respiratory syndrome (MERS), diseases caused by similar coronaviruses, it has helped prevent infection and reduced severity of symptoms. But it is not yet approved anywhere in the world for any use.
Lab technicians load vials of investigational coronavirus disease (COVID-19) treatment drug Remdesivir at a Gilead Sciences facility in La Verne, California, March 18, 2020. (Gilead Sciences Inc/Handout)
The U.S. Food and Drug Administration was expected Wednesday to grant emergency-use authorization for treatment of COVID-19 patients. Another study of remdesivir had not reached a positive conclusion, something reporters asked Fauci about in the Oval Office.
“It’s an underpowered study,” Fauci said of a study out of China published in The Lancet that found remdesivir was not effective in treating COVID-19 patients. “That’s not an adequate study.”
As of Wednesday evening EDT, COVID-19 had killed more than 227,000 people worldwide, including 60,000 in the United States, according to Johns Hopkins University statistics.
Total U.S. confirmed infections exceeded 1 million, the most reported by any country in the world.
“That’s a tremendous amount,” U.S. President Donald Trump said Wednesday, calling it an “indication that our testing is so superior.”
To think that the United States has more cases than China, “does anybody really believe that?” Trump added.
China faulted
He again blamed China, where the coronavirus was first reported, and the World Health Organization for the pandemic.
"They misled us,” said Trump of the WHO, calling it “literally a pipe organ for China.”
"They’re not to be congratulated for what took place and WHO is essentially congratulating them,” Trump told reporters. “And when they start doing that, we’ve got problems.”
The president earlier this month halted U.S. funding to the organization, which annually totals $400 million to $500 million. The WHO has said it is working with its partners to fill the financial gap from the Trump administration’s decision to withhold the money.
The United States is WHO’s largest donor.
“We can give it to groups that are very worthy and get much more bang for your buck. We’re going to make a decision in the not-too-distant future,” Trump said.
A patient is brought into Wyckoff Heights Medical Center by staff wearing personal protective gear due to COVID-19 concerns, April 7, 2020, in the Brooklyn borough of New York.
Later in the day, the president hosted several business leaders in the White House State Dining Room for an Opening Up America Again discussion that stressed the need to continue practices to help prevent the spread of the coronavirus.
“More specific guidance is needed” from the federal and state governments on such practices, said Josh Bolten, the president and chief executive officer of the Business Roundtable, an association of chief executive officers of major American companies.
Bolten said that to avoid serious setbacks as establishments reopen to the public, there would be a need to rapidly identify and isolate new coronavirus cases.
Hilton Hotels CEO Chris Nassetta said his company, which has nearly 600 properties, was working with the maker of disinfectant Lysol and the Mayo Clinic to establish sanitizing procedures to ensure virus-free environments.
'New normal'
Asked by a reporter what the “new normal” would look like, Trump replied: “I see the new normal being what it was three months ago.” He noted his desire to see packed stadiums for sporting events, something health experts caution would be reckless until there was mass deployment of a vaccine for COVID-19.
Trump announced he would resume traveling next week after a nearly two-month hiatus with a visit to Arizona, to be followed by a trip soon to Ohio. He said he eventually he would resume holding his political rallies with thousands in attendance in this election year.
The president expressed optimism that soon, with or without a vaccine, “this virus is going to be gone.”
Coronavirus Treatment Breakthrough Announced
Habari njema sana hizi, huenda maisha yakarejea kama kawaida siku kadhaa zijazo.Kuna yule mbunge ameaga dunia, baadaye hotelini kwake vikakutwa vifaa ya kufukiza, hiki kirusi hakikua kinaskia hayo ya kufukiza. Tushukuru wanasayansi wa Marekani kwa kutumia ubongo na kuleta suluhu ya kudumu.
Perhaps in KenyaTrials were done in Africa secretly hahahaha!
Haki ya Mungu nawaambieni hiyo Dawa huku kwetu Comoro hawataikubali kabisa kabisa hata kama inatibu 100%. Na roho itawauma kwa nn dawa imegunduliwa. Niamini mm.
Muwenage na aibu kushadidia vya wazungu. Rais wa Madagaska alipotangaza kwamba wamepata dawa ya covid-19 mbona hukuishadadia kihivyo? Waafrika tumelogwa kwa kweli!Kuna yule mbunge ameaga dunia, baadaye hotelini kwake vikakutwa vifaa ya kufukiza, hiki kirusi hakikua kinaskia hayo ya kufukiza. Tushukuru wanasayansi wa Marekani kwa kutumia ubongo na kuleta suluhu ya kudumu.
Mpuuzi mpuuze,ukimjibu unampa kichwawatu wanajua kukuza mambo asee.yani kama haupo africa alafu ukiona mtu kaandika africa tunapukutika.
unaweza vuta picha barabara zote zimejaa maiti nyumba zimefungwa barabarani hamna watu.maisha yamesimama.
kumbe sivyo kabisa ni mbwembwe tu za wakesha kwenye media
Sent using Jamii Forums mobile app
Tiba yangu mbona ipo na watu wanapona mbona? Unataka niitangaze ili nikamatwe na sirikali?Afu wewe daktari bingwa wa maushirikina JF hatuna imani nawe tena, ulikua kimya muda wote leo umeibuka kuhoji hii ya mzungu.
Nimesoma kichwa cha habari nikajua dawa imepatikana,kumbe bado,kumbe humu jamii forum tumejazana ma hopeless,hii kitu bado inatafuna binadam bila huruma
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi waafrika ambao mioyo yetu in marekani na ulaya tunaungana na wamarekani katika kuitangaza dawa iliyovumbuliwa huko kwetu kwa kiroho marekani na kuzikataa zote zinazovumbuliwa huku kwetu kwa kimwili Africa, pia kwakuwa kirusi chenyewe kilivumbuliwa uchina kwa watu Wa ngozi nyeupe basi na dawa lazima itoke huko kwa weupe na sio porojo za waafrika wamegunduaje dawa kwa kirusi ambacho hawakugundua wao.Wa Chato Aliyetangaza kujifukiza kunamfukuza corona kumesababisha shughuli za bunge kusimama jana.
Watu wahumize kichwa wewe ulipie licence kirahisi rahisi tuuuuKila nchi ilipie License ili izalishe hiyo dawa kwa ajili ya watu wake badala ya kutegemea nchi moja tuu.
Huku comoro kwanza hakuna maambukizi pili kuna dawa za ndani za wenyeji hawa.Kwanini?