Tetesi: Ikulu ya Marekani yatangaza dawa dhidi ya Corona, shukrani sana wazungu, mbarikiwe

Tetesi: Ikulu ya Marekani yatangaza dawa dhidi ya Corona, shukrani sana wazungu, mbarikiwe

Sisi waafrika ambao mioyo yetu in marekani na ulaya tunaungana na wamarekani katika kuitangaza dawa iliyovumbuliwa huko kwetu kwa kiroho marekani na kuzikataa zote zinazovumbuliwa huku kwetu kwa kimwili Africa, pia kwakuwa kirusi chenyewe kilivumbuliwa uchina kwa watu Wa ngozi nyeupe basi na dawa lazima itoke huko kwa weupe na sio porojo za waafrika wamegunduaje dawa kwa kirusi ambacho hawakugundua wao.

Vipi Iran....maana naona hii habari imekuuma sana utakua wewe ni timu Ajemi ila umejificha kwenye kunadi vya Afrika.
 
Kuna yule mbunge ameaga dunia, baadaye hotelini kwake vikakutwa vifaa ya kufukiza, hiki kirusi hakikua kinaskia hayo ya kufukiza. Tushukuru wanasayansi wa Marekani kwa kutumia ubongo na kuleta suluhu ya kudumu.
Naomba usipotoshe umma kuhusu kifo cha Mbunge Ndassa pls pls pls,ukiwa unaongea jambo ndg kumbuka pia kuwa na ushaidi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna yule mbunge ameaga dunia, baadaye hotelini kwake vikakutwa vifaa ya kufukiza, hiki kirusi hakikua kinaskia hayo ya kufukiza. Tushukuru wanasayansi wa Marekani kwa kutumia ubongo na kuleta suluhu ya kudumu.
Hii inaweza kuja kwetu mapema kweli? au ndo tusubiri , mpaka world

Sent using Jamii Forums mobile app
 
South Africa inaongoza Africa kwa wagonjwa wa corona ina vifo 103.
Lakini cha ajabu mbongo ana kwambia.
"Yaani tunakufa tunakufa huku mitaani kamaa kuku wa kideri".
yaani ukiwa na roho nyepesi ukiyasikiliza ya mitandaoni UNAWEZA UKAJINYONGA KWA KUOGOPA KORONA.
watu wanajua kukuza mambo asee.yani kama haupo africa alafu ukiona mtu kaandika africa tunapukutika.

unaweza vuta picha barabara zote zimejaa maiti nyumba zimefungwa barabarani hamna watu.maisha yamesimama.
kumbe sivyo kabisa ni mbwembwe tu za wakesha kwenye media

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mmesoma nakuielewa habari vizuri? Hiyo "dawa" haitibu corona ina harakisha kidogo mtu aliye na maambukizi ya corona kupona. Kama ingechukua siku 14 basi itachukua siku 11 au 10. Na bado utafiti haujathibitishwa vizuri kwahiyo msifikiri mambo ni mepesi hivyo. Bado tunaambiwa mpaka chanjo ya uhakika ipatikane mwaka utapita hivi hivi tunauona.

Eti ahsante wazungu 😂😂😂 have some self respect! Hata raisi wa Madagascar alitangaza dawa mbona hukufungua uzi kumshukuru kinafki?

Nyie ndo wale watu enzi za ukoloni hata mzungu akikujambia ni "ndiyo Bwana" "ahsante bwana" .
 
Africa Ni watu wa hajabu sana, mtu anatoa pongeze kwa America.
Africa wakigundua dawa inapigwa vitu na WHO na America.
America hiyo dawa ilikuwepo Muda mrefu sana ndiyo ilikuwa inatumika kwenye Ebola hakuna ugunduzi hapo .
America ameamua kutoa hiyo dawa kwa sababu Africa Kuna ugunduzi mkubwa wa dawa za Corona wanaogopa kukosa soko ya dawa yao kwa Miez inayokuja hakuna namna sasa hivi Ni lazima waitoe wapige pesa kutuuzia.

Na siyo watu wote watakao Tumia hiyo dawa itawasaidia wapo watakao Tumia dawa watakufa na wapo watakao Tumia dawa watapona hakuna utofauti na dawa za Kiafrica.
 
South Africa inaongoza Africa kwa wagonjwa wa corona ina vifo 103.
Lakini cha ajabu mbongo ana kwambia.
"Yaani tunakufa tunakufa huku mitaani kamaa kuku wa kideri".
yaani ukiwa na roho nyepesi ukiyasikiliza ya mitandaoni UNAWEZA UKAJINYONGA KWA KUOGOPA KORONA.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂
Na ukiijua saikolojia ya watanzania hauwezi sumbuka,wana habari za uongo na chumvi nyingi kuna kile kipindi meko alisemekana kafa! Ilitamba sana mitandaoni hasa humu ila jamaa siku anaongea ikuli kabla hajaja kuna nyimbo zilikuwa zinapigwa nikajua na ikulu kumbe wamo😂
Ati hauwezi kushindana na wanadamu wenye kinywa😂😂
Ikulu big up..
 
Tumuombe tu mungu ili balaa liishe..
[emoji23][emoji23]
Na ukiijua saikolojia ya watanzania hauwezi sumbuka,wana habari za uongo na chumvi nyingi kuna kile kipindi meko alisemekana kafa! Ilitamba sana mitandaoni hasa humu ila jamaa siku anaongea ikuli kabla hajaja kuna nyimbo zilikuwa zinapigwa nikajua na ikulu kumbe wamo[emoji23]
Ati hauwezi kushindana na wanadamu wenye kinywa[emoji23][emoji23]
Ikulu big up..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo NIMR zile dawa zao za mitishamba itabidi wazinywe....
HONGERENI SANA WAZUNGU HONGERENI SANA MABEBERU
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe vipo tofauti kabisa. Watu wanakurupuka tu kuandika bila kuelewa kinachoendelea Ikulu ya Marekani ingetangaza hiyo dawa sasa hivi ingekuwa ni top story kwenye vyombo vya habari Dunia nzima.

Hiyo dawa iligunduliwa kitambo kwa ajili ya ugonjwa wa Ebola lakini haikufanya kazi hivyo kwa sasa bado ipo kwenye majaribio. Inaonesha kupunguza muda wa kupona kufikia siku 10. Nimesoma kwenye CNN wanasema kuna uwezekano ikaweza kupunguza siku hadi kufikia 5. Sasa watu wanakurupuka hapa Dawa imepatikana
 
Back
Top Bottom