Tetesi: Ikulu ya Marekani yatangaza dawa dhidi ya Corona, shukrani sana wazungu, mbarikiwe

Tetesi: Ikulu ya Marekani yatangaza dawa dhidi ya Corona, shukrani sana wazungu, mbarikiwe

China ndo nchi pekee yenye dawa ya kumaliza huyu mdudu na ndo maana walikuwa na kiburi chakusema wao ndo kitakuwa taifa la kwanza kuimarisha uchumi pia kuna waziri wao alishawai sema kupata dawa ya corona china ni kushinda vita
 
Kila nchi ilipie License ili izalishe hiyo dawa kwa ajili ya watu wake badala ya kutegemea nchi moja tuu.
Kwa akili hizi za kupika nyungu /kuzika maiti usiku usiku, eti unajificha!!! unaweza kuzizalisha hizo dawa wewe??? Acha wanaojua umuhimu wa shule, wafanye kazi zao, (mwafrika bila mzungu) kama tukiweza ku survive ni kwa tabu sanaaaa!!! Japo nadhani hatuwezi!!! Kwa mawazo haya ya kina kinjekitile 1905,hadi leo bado yapo kichwani kwa viongozi wetu?!!
 
Mbona tu najitahidi kujisaidia kunawa mikono,kuvaa mask,kutumia sanitizer kwanini mungu asitusaidie kutulinda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu alimwambia Hezekia angemuongezea miaka 15 katika maisha yake alimwambia achukue mkate na tini na wapake kwenye jipu lake.
2 Waf. 20:7
Akasema tutumie dawa za asili 2 Samuel 286-287

Hivyo physicians na chemists ingieni lab mfanye mambo
 
ukiona mpaka mzungu anakwambia stay home for us ujue maji marefu.
Mungu alimwambia Hezekia angemuongezea miaka 15 katika maisha yake alimwambia achukue mkate na tini na wapake kwenye jipu lake.
2 Waf. 20:7
Akasema tutumie dawa za asili 2 Samuel 286-287

Hivyo physicians na chemists ingieni lab mfanye mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naisi wameona sasa watoe dawa,baada ya kuona mipango yao imefika mahali,daima sina Imani na Mzungu.
Nadhani wataanza kuuza ulimwenguni, ili wakuze uchumi wao,sina Imani na Mzungu na huenda wameona watoe tu dawa ili uovu wao usijulikane baada ya kuathiri nnchi yao.

Afu kumbe ni Tetesi?
Yes
EXACTLY!!
Na hapo uchumi wao utapanda vibaya mno..nashangaa ni kwa nini ile ya Madagascar ilipigwa vita? kwa hyo wameshtukia game mapema..ila tuwe na subira zaidi,hatujui behind the scene.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili hizi za kupika nyungu /kuzika maiti usiku usiku, eti unajificha!!! unaweza kuzizalisha hizo dawa wewe??? Acha wanaojua umuhimu wa shule, wafanye kazi zao, (mwafrika bila mzungu) kama tukiweza ku survive ni kwa tabu sanaaaa!!! Japo nadhani hatuwezi!!! Kwa mawazo haya ya kina kinjekitile 1905,hadi leo bado yapo kichwani kwa viongozi wetu?!!
CHAKO NI CHAKO.....iko Dodoma maarufu kwa kuku choma
 
Back
Top Bottom