Tetesi: Ikulu ya Marekani yatangaza dawa dhidi ya Corona, shukrani sana wazungu, mbarikiwe

Virus anakaa kwenye damu, sasa kujifukiza na mvuke kuna tibu vipi au kuua vipi yule virus? Ule mvuke unaenda kuchemsha damu au?
Binafsi siamini katika hilo kwa maana wengi wamepona pasipo hata dawa, Tatizo tiba za huku Africa ni kama watu wana tapa tapa na kubahatisha kama michezo ya Casino, mtu anakwambia jifukize 100°C mvuke, hivi hii imekaaje?
At least wazungu dawa zao wanaelezea kitaalamu na kisayansi, hapa jamani tusichukie, kama tunatumia mitishamba basi wafanye tafiti za kisayansi kujua huyo kirusi yuko vipi na jinsi gani ya kumkabili,wazungu ndio waligundua yule virus kwa sehemu kubwa ni mafuta wakitumia vyombo vya kisasa kama microscope za umeme, mwafrika kuona hivyo akaona amalizie kwa kufukiza eti kisa ni futa, we unaweza kuua virus yupo damuni kwa mvuke?
Dawa hata ile ya Madagascar inapaswa waelezee kitaalamu, waelezee ina vyofanya kazi mwanzo mwisho, waelezee inawezaje kumkabili yule mdudu? Tukifanya hivi hakika hata mzungu atajiona mjinga,hata wakitu beza kuna mataifa mengi watavutiwa na utaalamu kama huo,jamani tuishi kwa nyakati, tusikasirike kuambiwa ukweli, hata ukinunua mseto ya malaria utakuta ndani karatasi ina maelezo ya kitaalamu mwanzo mwisho,mpaka effects za dawa,vyakula vipi usile n.k, wazungu wapo specific sana tuchukueni mazuri yao na tujifunze, dawa nyingi za Africa tunapona kwa imani tu kama sio kubahatisha.TUBADILIKE.
 
Fauci nae ameshakuwa politician tu sasa hii pandemic ka grab attention ya kutosha haswa alivyo mlipua trump
 
Alafu hii habari mbona inatembea sana kwenye source za Africa US. Hata hakuna
Ndio mujijue kama waafrica mnawapenda wazungu mpaka mnawazushia habari ambazo hata wenyewe hawana

Sent using My COVID-19
 
Huu udaku umeutoa wapi wewe mkikuyu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatimaye ikulu ya Marekani yatangaza ufaulu wa dawa dhidi ya Corona, mzungu amekomaa mpaka mwisho, mbarikiwe sana wanasayansi wa Marekani, dunia itawakumbuka daima kwa kutuokoa, haya fanyeni mchakato wa kuileta huku Afrika maana ndio kirusi kimeanza shughuli yake huku na kiukweli sisi hatuna chochote zaidi ya kufukiza, tumeanza kupukutika, hatuna mchango wowote kwenye mambo kama haya yanayohitaji matumizi ya ubongo.
================================

WHITE HOUSE - An experimental drug has proven effective in treating COVID-19 patients, the head of the U.S. National Institute of Allergy and Infectious Diseases, Dr. Anthony Fauci, announced Wednesday.

“Remdesivir has a clear-cut, significant positive effect in diminishing the time to recover,” Fauci told reporters in the White House Oval Office. “A drug can block this virus.”

An international randomized placebo control trial at his institute started February 21 with hundreds of hospitalized coronavirus patients, Fauci said.

Recovery time was 11 days for those given the drug compared with 15 days for patients given a placebo, according to the NIAID and its parent agency, the National Institutes of Health.

“Whenever you have clear-cut evidence that a drug works, you have an ethical obligation to immediately let the people who are in the placebo group know so that they can have access, and all of the other trials that are taking place now have a new standard of care,” Fauci told reporters.

'Beacon of hope'
“Today’s promising news from the NIH remdesivir trial is a beacon of hope for all Americans and everyone around the world waging war on the COVID-19 pandemic,” said Health and Human Services Secretary Alex Azar in a statement.

Remdesivir, manufactured by Gilead Sciences, is given intravenously and designed to interfere with an enzyme that reproduces viral genetic material. In animal tests against severe acute respiratory syndrome (SARS) and Middle East respiratory syndrome (MERS), diseases caused by similar coronaviruses, it has helped prevent infection and reduced severity of symptoms. But it is not yet approved anywhere in the world for any use.

Lab technicians load vials of investigational coronavirus disease (COVID-19) treatment drug Remdesivir at a Gilead Sciences facility in La Verne, California, March 18, 2020.
Lab technicians load vials of investigational coronavirus disease (COVID-19) treatment drug Remdesivir at a Gilead Sciences facility in La Verne, California, March 18, 2020. (Gilead Sciences Inc/Handout)

The U.S. Food and Drug Administration was expected Wednesday to grant emergency-use authorization for treatment of COVID-19 patients. Another study of remdesivir had not reached a positive conclusion, something reporters asked Fauci about in the Oval Office.

“It’s an underpowered study,” Fauci said of a study out of China published in The Lancet that found remdesivir was not effective in treating COVID-19 patients. “That’s not an adequate study.”

As of Wednesday evening EDT, COVID-19 had killed more than 227,000 people worldwide, including 60,000 in the United States, according to Johns Hopkins University statistics.

Total U.S. confirmed infections exceeded 1 million, the most reported by any country in the world.

“That’s a tremendous amount,” U.S. President Donald Trump said Wednesday, calling it an “indication that our testing is so superior.”

To think that the United States has more cases than China, “does anybody really believe that?” Trump added.

China faulted
He again blamed China, where the coronavirus was first reported, and the World Health Organization for the pandemic.
"They misled us,” said Trump of the WHO, calling it “literally a pipe organ for China.”

"They’re not to be congratulated for what took place and WHO is essentially congratulating them,” Trump told reporters. “And when they start doing that, we’ve got problems.”

The president earlier this month halted U.S. funding to the organization, which annually totals $400 million to $500 million. The WHO has said it is working with its partners to fill the financial gap from the Trump administration’s decision to withhold the money.

The United States is WHO’s largest donor.

“We can give it to groups that are very worthy and get much more bang for your buck. We’re going to make a decision in the not-too-distant future,” Trump said.

Patients are brought into Wyckoff Heights Medical Center by staff wearing personal protective gear due to COVID-19 concerns,…
A patient is brought into Wyckoff Heights Medical Center by staff wearing personal protective gear due to COVID-19 concerns, April 7, 2020, in the Brooklyn borough of New York.

Later in the day, the president hosted several business leaders in the White House State Dining Room for an Opening Up America Again discussion that stressed the need to continue practices to help prevent the spread of the coronavirus.

“More specific guidance is needed” from the federal and state governments on such practices, said Josh Bolten, the president and chief executive officer of the Business Roundtable, an association of chief executive officers of major American companies.

Bolten said that to avoid serious setbacks as establishments reopen to the public, there would be a need to rapidly identify and isolate new coronavirus cases.

Hilton Hotels CEO Chris Nassetta said his company, which has nearly 600 properties, was working with the maker of disinfectant Lysol and the Mayo Clinic to establish sanitizing procedures to ensure virus-free environments.

'New normal'
Asked by a reporter what the “new normal” would look like, Trump replied: “I see the new normal being what it was three months ago.” He noted his desire to see packed stadiums for sporting events, something health experts caution would be reckless until there was mass deployment of a vaccine for COVID-19.

Trump announced he would resume traveling next week after a nearly two-month hiatus with a visit to Arizona, to be followed by a trip soon to Ohio. He said he eventually he would resume holding his political rallies with thousands in attendance in this election year.

The president expressed optimism that soon, with or without a vaccine, “this virus is going to be gone.”

Coronavirus Treatment Breakthrough Announced
Kama dawa waache watibiane wenyewe kwanza huko maana wanafariki kama kuku wamdondo

Mungu awafanyie wepesi wapone ila kwaleo umetudanganya wewe mkikuyu

Sent using My COVID-19
 
Huu udaku umeutoa wapi wewe mkikuyu[emoji23][emoji23][emoji23]Kama dawa waache watibiane wenyewe kwanza huko maana wanafariki kama kuku wamdondo

Mungu awafanyie wepesi wapone ila kwaleo umetudanganya wewe mkikuyu

Sent using My COVID-19
Muajemi ndio umeamka nini? Maana huu sijakuona kwenye siti za mbele.
 
Huu uzi mbona wenye akili wachache ndo wameuelewa. Hata mleta mada mwenyewe kauleta kishabiki. Dawa hakuna.
 
Ndio mujijue kama waafrica mnawapenda wazungu mpaka mnawazushia habari ambazo hata wenyewe hawana

Sent using My COVID-19
Ni kweli Anthony kazungumza hivyo lakini hiyo habari hata hai-trend kwenye source zao even H.E Trump hajasema lolote.
 
Huu uzi mbona wenye akili wachache ndo wameuelewa. Hata mleta mada mwenyewe kauleta kishabiki. Dawa hakuna.
Wewe ndiye unapigwa chenga na mambo ya kiutaalam kama haya, au labda lugha inakupiga chenga, ni kweli hamna dawa ya kuponya Corona, actually hamna dawa ya kuponya kirusi chochote dunia hii hata mafua, dawa iliyopo ni ya kupunguza makali yake mpaka siku kitakufa chenyewe. Mutations za virusi hufanya ngumu kutengeneza dawa ya kuponya, na ndio maana hata UKIMWI mpaka leo hamna dawa ya kuponya, ila ipo ya kupunguza uwezo wake.

Hii Corona haidumu kwa mwili kwa muda mrefu, hivyo ukiwa na uwezo wa kubaki hai mpaka wakati inajifia, basi unapona, na ndio maana zipo dawa za kusaidia kwenye hiyo process.
 
"Ikulu ya Marekani yatangaza dawa dhidi ya corona" ndo heading yako.
Kwenye content kuna point ya msingi umeambiwa "...experimental drug" sasa wewe tiyari ushaanza kushangilia na kuiita dawa ya kutibu.
Experimental drugs za UKIMWI zilishafanyika mara nyingi na mpaka leo ugonjwa upo. Experimental drug haiwezi tolewa kwa watu waitumie, hiyo itakaa kwa watu wachache waliojitolea na wawe monitored. Dawa hujajua side effects zake na effectiveness yake unaitoaje kwa watu.
Ndo maana nakwambia umeikuza taarifa.
 
Muajemi ndio umeamka nini? Maana huu sijakuona kwenye siti za mbele.
Dawa ya Virus Uliwahi Kuiona Wapi [emoji23][emoji23][emoji23]

Au unaongelea Ant Virus Ya Window[emoji12][emoji14][emoji12]

Sent using My COVID-19
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndiye unapigwa chenga na mambo ya kiutaalam kama haya, au labda lugha inakupiga chenga, ni kweli hamna dawa ya kuponya Corona, actually hamna dawa ya kuponya kirusi chochote dunia hii hata mafua, dawa iliyopo ni ya kupunguza makali yake mpaka siku kitakufa chenyewe. Mutations za virusi hufanya ngumu kutengeneza dawa ya kuponya, na ndio maana hata UKIMWI mpaka leo hamna dawa ya kuponya, ila ipo ya kupunguza uwezo wake.

Hii Corona haidumu kwa mwili kwa muda mrefu, hivyo ukiwa na uwezo wa kubaki hai mpaka wakati inajifia, basi unapona, na ndio maana zipo dawa za kusaidia kwenye hiyo process.
Kama unajua nakuelewa nakufahamu yakwamba hakuna dawa yakorona futa huu udaku wako ulio andika au wewe umeandika Ikulu Yamarekani Imetangaza Nini [emoji3][emoji23][emoji16]?!

Wamarekani Wakismayo na Mombasa Mnataabu Sana Asee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23]

Sent using My COVID-19
 
"Ikulu ya Marekani yatangaza dawa dhidi ya corona" ndo heading yako.
Kwenye content kuna point ya msingi umeambiwa "...experimental drug" sasa wewe tiyari ushaanza kushangilia na kuiita dawa ya kutibu.
Experimental drugs za UKIMWI zilishafanyika mara nyingi na mpaka leo ugonjwa upo. Experimental drug haiwezi tolewa kwa watu waitumie, hiyo itakaa kwa watu wachache waliojitolea na wawe monitored. Dawa hujajua side effects zake na effectiveness yake unaitoaje kwa watu.
Ndo maana nakwambia umeikuza taarifa.

Ikulu ya Marekani imetangaza dawa dhidi ya Corona, kwa kifupi dawa waliotangaza ni ya kupambana na Corona, sio Malaria au kitu kingine.
Pili, jua tofauti kati ya kutibu na kuponya, sijasema wametangaza dawa ya kuponya Corona.
Wametangaza imefaulu majaribio na kuonyesha uwezo mkubwa dhidi ya Crona.
Taasisi ya U.S. Food and Drug Administration imeombwa itoe ruhusa ya matumizi yake kwa dharula.
 
Hatimaye ikulu ya Marekani yatangaza ufaulu wa dawa dhidi ya Corona, mzungu amekomaa mpaka mwisho, mbarikiwe sana wanasayansi wa Marekani, dunia itawakumbuka daima kwa kutuokoa, haya fanyeni mchakato wa kuileta huku Afrika maana ndio kirusi kimeanza shughuli yake huku na kiukweli sisi hatuna chochote zaidi ya kufukiza, tumeanza kupukutika, hatuna mchango wowote kwenye mambo kama haya yanayohitaji matumizi ya ubongo.
================================

WHITE HOUSE - An experimental drug has proven effective in treating COVID-19 patients, the head of the U.S. National Institute of Allergy and Infectious Diseases, Dr. Anthony Fauci, announced Wednesday.

“Remdesivir has a clear-cut, significant positive effect in diminishing the time to recover,” Fauci told reporters in the White House Oval Office. “A drug can block this virus.”

An international randomized placebo control trial at his institute started February 21 with hundreds of hospitalized coronavirus patients, Fauci said.

Recovery time was 11 days for those given the drug compared with 15 days for patients given a placebo, according to the NIAID and its parent agency, the National Institutes of Health.

“Whenever you have clear-cut evidence that a drug works, you have an ethical obligation to immediately let the people who are in the placebo group know so that they can have access, and all of the other trials that are taking place now have a new standard of care,” Fauci told reporters.

'Beacon of hope'
“Today’s promising news from the NIH remdesivir trial is a beacon of hope for all Americans and everyone around the world waging war on the COVID-19 pandemic,” said Health and Human Services Secretary Alex Azar in a statement.

Remdesivir, manufactured by Gilead Sciences, is given intravenously and designed to interfere with an enzyme that reproduces viral genetic material. In animal tests against severe acute respiratory syndrome (SARS) and Middle East respiratory syndrome (MERS), diseases caused by similar coronaviruses, it has helped prevent infection and reduced severity of symptoms. But it is not yet approved anywhere in the world for any use.

Lab technicians load vials of investigational coronavirus disease (COVID-19) treatment drug Remdesivir at a Gilead Sciences facility in La Verne, California, March 18, 2020.
Lab technicians load vials of investigational coronavirus disease (COVID-19) treatment drug Remdesivir at a Gilead Sciences facility in La Verne, California, March 18, 2020. (Gilead Sciences Inc/Handout)

The U.S. Food and Drug Administration was expected Wednesday to grant emergency-use authorization for treatment of COVID-19 patients. Another study of remdesivir had not reached a positive conclusion, something reporters asked Fauci about in the Oval Office.

“It’s an underpowered study,” Fauci said of a study out of China published in The Lancet that found remdesivir was not effective in treating COVID-19 patients. “That’s not an adequate study.”

As of Wednesday evening EDT, COVID-19 had killed more than 227,000 people worldwide, including 60,000 in the United States, according to Johns Hopkins University statistics.

Total U.S. confirmed infections exceeded 1 million, the most reported by any country in the world.

“That’s a tremendous amount,” U.S. President Donald Trump said Wednesday, calling it an “indication that our testing is so superior.”

To think that the United States has more cases than China, “does anybody really believe that?” Trump added.

China faulted
He again blamed China, where the coronavirus was first reported, and the World Health Organization for the pandemic.
"They misled us,” said Trump of the WHO, calling it “literally a pipe organ for China.”

"They’re not to be congratulated for what took place and WHO is essentially congratulating them,” Trump told reporters. “And when they start doing that, we’ve got problems.”

The president earlier this month halted U.S. funding to the organization, which annually totals $400 million to $500 million. The WHO has said it is working with its partners to fill the financial gap from the Trump administration’s decision to withhold the money.

The United States is WHO’s largest donor.

“We can give it to groups that are very worthy and get much more bang for your buck. We’re going to make a decision in the not-too-distant future,” Trump said.

Patients are brought into Wyckoff Heights Medical Center by staff wearing personal protective gear due to COVID-19 concerns,…
A patient is brought into Wyckoff Heights Medical Center by staff wearing personal protective gear due to COVID-19 concerns, April 7, 2020, in the Brooklyn borough of New York.

Later in the day, the president hosted several business leaders in the White House State Dining Room for an Opening Up America Again discussion that stressed the need to continue practices to help prevent the spread of the coronavirus.

“More specific guidance is needed” from the federal and state governments on such practices, said Josh Bolten, the president and chief executive officer of the Business Roundtable, an association of chief executive officers of major American companies.

Bolten said that to avoid serious setbacks as establishments reopen to the public, there would be a need to rapidly identify and isolate new coronavirus cases.

Hilton Hotels CEO Chris Nassetta said his company, which has nearly 600 properties, was working with the maker of disinfectant Lysol and the Mayo Clinic to establish sanitizing procedures to ensure virus-free environments.

'New normal'
Asked by a reporter what the “new normal” would look like, Trump replied: “I see the new normal being what it was three months ago.” He noted his desire to see packed stadiums for sporting events, something health experts caution would be reckless until there was mass deployment of a vaccine for COVID-19.

Trump announced he would resume traveling next week after a nearly two-month hiatus with a visit to Arizona, to be followed by a trip soon to Ohio. He said he eventually he would resume holding his political rallies with thousands in attendance in this election year.

The president expressed optimism that soon, with or without a vaccine, “this virus is going to be gone.”

Coronavirus Treatment Breakthrough Announced
Mbona ya nchini Madagasca waliikataa eti kwa kuwa bado muda ni mapema sana? Sisi tutatumia ya Waafrika wenzetu ambao walishaitangaza mapema!
 
Ikulu ya Marekani imetangaza dawa dhidi ya Corona, kwa kifupi dawa waliotangaza ni ya kupambana na Corona, sio Malaria au kitu kingine.
Pili, jua tofauti kati ya kutibu na kuponya, sijasema wametangaza dawa ya kuponya Corona.
Wametangaza imefaulu majaribio na kuonyesha uwezo mkubwa dhidi ya Crona.
Taasisi ya U.S. Food and Drug Administration imeombwa itoe ruhusa ya matumizi yake kwa dharula.
Vipi na yule Mwingereza waliyemchoma dawa ya majaribio ya chanjo akafa imekuaje mpambe wa wazungu?
 
Back
Top Bottom