Tetesi: Ikulu ya Marekani yatangaza dawa dhidi ya Corona, shukrani sana wazungu, mbarikiwe

Kila nchi ilipie License ili izalishe hiyo dawa kwa ajili ya watu wake badala ya kutegemea nchi moja tuu.
 
Kuna yule mbunge ameaga dunia, baadaye hotelini kwake vikakutwa vifaa ya kufukiza, hiki kirusi hakikua kinaskia hayo ya kufukiza. Tushukuru wanasayansi wa Marekani kwa kutumia ubongo na kuleta suluhu ya kudumu.
Habari njema sana hizi, huenda maisha yakarejea kama kawaida siku kadhaa zijazo.

Mabeberu hatari sana.
 
Kuna yule mbunge ameaga dunia, baadaye hotelini kwake vikakutwa vifaa ya kufukiza, hiki kirusi hakikua kinaskia hayo ya kufukiza. Tushukuru wanasayansi wa Marekani kwa kutumia ubongo na kuleta suluhu ya kudumu.
Muwenage na aibu kushadidia vya wazungu. Rais wa Madagaska alipotangaza kwamba wamepata dawa ya covid-19 mbona hukuishadadia kihivyo? Waafrika tumelogwa kwa kweli!
 
Mpuuzi mpuuze,ukimjibu unampa kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa Chato Aliyetangaza kujifukiza kunamfukuza corona kumesababisha shughuli za bunge kusimama jana.
Sisi waafrika ambao mioyo yetu in marekani na ulaya tunaungana na wamarekani katika kuitangaza dawa iliyovumbuliwa huko kwetu kwa kiroho marekani na kuzikataa zote zinazovumbuliwa huku kwetu kwa kimwili Africa, pia kwakuwa kirusi chenyewe kilivumbuliwa uchina kwa watu Wa ngozi nyeupe basi na dawa lazima itoke huko kwa weupe na sio porojo za waafrika wamegunduaje dawa kwa kirusi ambacho hawakugundua wao.
 
... hivi ndio vichwa vinavyohitajika duniani humu! Sio wale wengine wanadai virus "viliwaponyoka" huko maabara kwao vikaishia kuleta maafa duniani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…