Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Kusajili vpn gharwma zake na taratibu zikoje
Acha uzwazwa!Tumekatazwa na ni sheria kwa yeyote kutumia VPN. Twitter yan X imefungiwa kutotumika hapa nchini ajabu Ikulu mawasiliano bado inarusha matangazo yake Twitter (X) kwa maana ya kwamba wanatumia VPN kuipata twitter. Nani mwenye jeuri aifungulie mashtaka Ikulu mawasiliano kwa kutumia VPN ili wote tuwe chini ya sheria.
Rais wa Marekani anashitakiwa ila marais wa kiafrika hawashitakiwi.Tumekatazwa na ni sheria kwa yeyote kutumia VPN. Twitter yan X imefungiwa kutotumika hapa nchini ajabu Ikulu mawasiliano bado inarusha matangazo yake Twitter (X) kwa maana ya kwamba wanatumia VPN kuipata twitter. Nani mwenye jeuri aifungulie mashtaka Ikulu mawasiliano kwa kutumia VPN ili wote tuwe chini ya sheria.
Tumekatazwa na ni sheria kwa yeyote kutumia VPN. Twitter yan X imefungiwa kutotumika hapa nchini ajabu Ikulu mawasiliano bado inarusha matangazo yake Twitter (X) kwa maana ya kwamba wanatumia VPN kuipata twitter. Nani mwenye jeuri aifungulie mashtaka Ikulu mawasiliano kwa kutumia VPN ili wote tuwe chini ya sheria.
Umejuaje kuwa wanatumia X?Tumekatazwa na ni sheria kwa yeyote kutumia VPN. Twitter yan X imefungiwa kutotumika hapa nchini ajabu Ikulu mawasiliano bado inarusha matangazo yake Twitter (X) kwa maana ya kwamba wanatumia VPN kuipata twitter. Nani mwenye jeuri aifungulie mashtaka Ikulu mawasiliano kwa kutumia VPN ili wote tuwe chini ya sheria.
Unamaanisha zama za ujinga zitaisha 2030?Zama za ujinga zimeisha rasmi,baada ya mama hakutakua na haya!
Mwezi huu baada ya serikali kuvunjwa!!Unamaanisha zama za ujinga zitaisha 2030?
Marais wa kiafrika wanashtakiwaga na hao hao wazungu huko uholanzi, wakiona wamenusurika sana basi gumzo linatengenezwa mwisho wanaangamia kwa aibu kama waliokuwepo wakaja kufa kwa kupigwa vidochi mtaani. (Mfano hai ni yule wa Libya. Traore nae atafuata)Rais wa Marekani anashitakiwa ila marais wa kiafrika hawashitakiwi.
Mpaka hapo hakuna kesi
Mbona rais wa marekani anashitakiwa Marekani?Marais wa kiafrika wanashtakiwaga na hao hao wazungu huko uholanzi, wakiona wamenusurika sana basi gumzo linatengenezwa mwisho wanaangamia kwa aibu kama waliokuwepo wakaja kufa kwa kupigwa vidochi mtaani. (Mfano hai ni yule wa Libya. Traore nae atafuata)
Inasikitisha sana!
Tumekatazwa na ni sheria kwa yeyote kutumia VPN. Twitter yan X imefungiwa kutotumika hapa nchini ajabu Ikulu mawasiliano bado inarusha matangazo yake Twitter (X) kwa maana ya kwamba wanatumia VPN kuipata twitter. Nani mwenye jeuri aifungulie mashtaka Ikulu mawasiliano kwa kutumia VPN ili wote tuwe chini ya sheria.