and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,999
We umejuaje kama yupo Tanzania? kuna watu wapo nje ya nchi..Umeingiaje Twitter mkuu?
Anyway, ikulu wanapost wakiwa Kenya
We umejuaje kama yupo Tanzania? kuna watu wapo nje ya nchi..Umeingiaje Twitter mkuu?
Anyway, ikulu wanapost wakiwa Kenya
ujeuri na uropkaji ndio umefanya matapeli wa kisiasa kusota korokoroni hivi sasa gentleman,Tumekatazwa na ni sheria kwa yeyote kutumia VPN. Twitter yan X imefungiwa kutotumika hapa nchini ajabu Ikulu mawasiliano bado inarusha matangazo yake Twitter (X) kwa maana ya kwamba wanatumia VPN kuipata twitter. Nani mwenye jeuri aifungulie mashtaka Ikulu mawasiliano kwa kutumia VPN ili wote tuwe chini ya sheria.
Swali lako kwangu limekaa kinabe sana! Jijibu mwenyewe, maana unajitekenya unacheka mwenyewe… kwani we ulichouliza huna majibu nacho?!Mbona rais wa marekani anashitakiwa Marekani?
Kwa maana hiyo bila wazungu viongozi wa kiafrika wangetutesa sana