Ikulu ya Tanzania ishtakiwe kwa mutumia VPN

Acha uzwazwa!
 
Rais wa Marekani anashitakiwa ila marais wa kiafrika hawashitakiwi.
Mpaka hapo hakuna kesi
 
Hii serikali kunya anye kuku akinya bata kaharisha.
Mara msichanganye dini na siasa...leo sa100 yuko kkkt anazindua sijui mfuko gani huko bla bla tu

Kampeni za wazi wazi!
 

Hayo matangazo wanamrushia nani na wakati hadhira imefungiwa huduma?

Taifa la vichekesho..
 
Umejuaje kuwa wanatumia X?
 
Sheria haijakataza matumizi ya VPN. Inataka usajili kwanza hiyo VPN utakayoitumia
 
Rais wa Marekani anashitakiwa ila marais wa kiafrika hawashitakiwi.
Mpaka hapo hakuna kesi
Marais wa kiafrika wanashtakiwaga na hao hao wazungu huko uholanzi, wakiona wamenusurika sana basi gumzo linatengenezwa mwisho wanaangamia kwa aibu kama waliokuwepo wakaja kufa kwa kupigwa vidochi mtaani. (Mfano hai ni yule wa Libya. Traore nae atafuata)

Inasikitisha sana!
 
Mbona rais wa marekani anashitakiwa Marekani?
Kwa maana hiyo bila wazungu viongozi wa kiafrika wangetutesa sana
 
Malipo yote yafanyike kwa kutumia fedha ya Tanzania (TZS) ...... ukipita mtaani bado malipo yanafanyika kwa Dola (US$)
 

Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa na wale wengine, mkuje mara moja!
 
Nasikia ndio serikali ya ccm inataka kumuwekea vikwazo USA NA NCHI za ulaya kuwa tusiwaingilie na kimaendeleo. kuwa wamegundua teknolojia ya kujua ngono alisikika jerry manati sio silahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…