Ikulu ya Tanzania ishtakiwe kwa mutumia VPN

ujeuri na uropkaji ndio umefanya matapeli wa kisiasa kusota korokoroni hivi sasa gentleman,

ni muhimu kutumia hekima na busara katika masula ya kisheria, kimaadili au kiusalama 🐒
 
Mbona rais wa marekani anashitakiwa Marekani?
Kwa maana hiyo bila wazungu viongozi wa kiafrika wangetutesa sana
Swali lako kwangu limekaa kinabe sana! Jijibu mwenyewe, maana unajitekenya unacheka mwenyewe… kwani we ulichouliza huna majibu nacho?!
 
Mda huo huo wanatoa taarifa official wanategemea nani akasome wakati wametufungia raia kutumia X 🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…