Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

It is beyond unfortunate that our nation calls upon the best policy makers it could find to decide the future of our nation, the best these guys could do, is deteriorate into these pettiness. I have lost all respect i had for Lissu, as a politician and as an academician. He is more empty headed than i originally thought of him. His hot headed mannerism is not doing him or CDM any favors ATM. So, this is what we are supposed to believe, Lissu, knows best about what transpired 50 years ago better than people who were actually there to witness the unfolding of events. Lissu, wants everyone to believe, the UN, the OAU and all the International apparatus have been fooled for 50 years to believe into the existence of a nation that never was. Lissu, wants everyone to believe that, for whatever reason, JKN and his team together with ZNZ compatriots signed hot air and celebrated fake union for 50 years. What's even sad is, everyone stops what they are doing and give such a guy audience to puke out all these nonsense accusations.And it tells a lot of the state we are as a nation. STUCK and ready to believe in any form of False hope. This was supposed to be the time we discuss how our grandchildren will benefit from the best governance put forward by their great grand fathers/mothers. This was supposed to be the time we left something as a generation of Tanzanians who had a chance to fix something and we damn gave our absolute best to fix it. As a citizen of this great Nation of Tanzania, I am utterly disappointed
 


Kimweri embu tuache wengine tusubiri, hakuna kinachofichika chini ya jua.
 
Hii ni "COPY" ...



Hi Kimweri mie tena nimekuita uone, mie nasubiri ukweli...
 
Kimweri embu tuache wengine tusubiri, hakuna kinachofichika chini ya jua.
Unasubiri kitu gani ndugu yangu?kuambiwa muungano ni feki au? Alichofanya huyu Tundu na wapuuzi wanaodai hati hawana tofauti na Mtoto aliyezaliwa kwenye na wazazi, kisha baada ya kukua,baada ya kulelewa vizuri na hawa wazazi, anarudi na kuwaita sio wazazi wake kwa kuwa hawajamuonesha cheti cha ndoa yao hao wazazi wawili. Toto tundu hili liende mbali zaidi na kudai kuwa wazazi wake ni wasanii kwa kuwa hawajawahi kuweka wazi cheti hiki cha ndoa, na hata kule kanisani wanakohifadhi cheti hajakiona kwani yule padri aliyeenda kumuuliza kuhusu vyeti vya ndo vilivyotolewa miaka 50 iliyopita hajamuonesha chochote cha maana. Kutokana na hilo basi toto tundu limeamua kuwa baba yake ameishi maisha ya uongo na udanganyifu, na alikuwa mlaghai. Toto tundu hili linaendelea kudai kuwa lenyewe lina-akili na busara mingi sana, hivyo lazima liseme ukweli. Lugha niliyotumia hapo juu si ya kistaarabu lakini ndio hali halisi ya upuuzi unaopigiwa kelele na hawa wansasiasa wetu. What puzzles me beyond belief, is ifthis chap is so convinced the Union is a sham, why didn't he sue the shit out of of it? isn't he this competent lawyer?speaking of which, what country does he put his oath on for all these years when he conducts his daily business in courts? If this man is so clean and full of integrity, why the hell is he even a Member of parliament of this fake country?am pretty sure he has a driver's license of the fake country, owns property in the name of a fake country, and probably he took his ignorant b*t to Dodoma by paying for for fuel using fake country's money.
 

Baba wa Taifa,Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere(kushoto) akibadilishana na Hayati Sheikh Abeid Amani Karume(kulia) source: Mwalimu Nyerere | News and Highlights: This is what Nyerere, Karume agreed on Tanzania


Mzee Karume (Kushoto) Mwalimu Nyerere (kati) Hassan Nassor Moyo (kulia)


Kutoka shoto Balozi Job Lusinde, Rashid, Kawawa, Nassoro Moyo (kati) Pius Msekwa (kulia)


Mzee Salum Rashid , Katibu wa Baraza la Mapinduzi 1964

 
nitakuelewa kama huo utumbo ulishapelekwa UN...
Article 102
1. Every treaty and every international
agreement entered into by any Member of the
United Nations after the present Charter
comes into force shall as soon as possible be
registered with the Secretariat and published
by it.
2. No party to any such treaty or international
agreement which has not been registered in
accordance with the provisions of paragraph 1
of this Article may invoke that treaty or
agreement before any organ of the United
Nations.
 

Maswali haya ni vizuri uwaulize UN kama nao ni wababishaji waliokubali kuwa na representation ya Tanzania kwenye mjengo wao bila kufuata article hiyo yao ya 102.
 
Kimweri unataka kutuaminisha na kutupotosha kwa kumwona Tundu lissu ni mabaya na mimi najua bila tundu lissu kuongea mambo yale hata wewe usingepata ujasiri wowote wa kuanza kutetea muungano ambao haukuridhiwa
hebu jiulize maswali haya
1 kwa nini kamati ilipoomba hati ililetewa hati nyingine ambayo ni tofauti iliyoonyeshwa jana?
2 kwa nini serikali ikubali kuadhirishwa kiasi hicho ili hali uthiitisho inao?
3 kwa nini hati hiyo haikuwasilishwa UN?

 
Last edited by a moderator:
Kwa usiri huu, nafikiri kuna haja ya kuona hati ya Tanganyika. Huenda nako kuna mambo ya ajabuajabu tu. Haiwezekani nyaraka zinazowahusu wananchi ziwe na utata kiasi hichi.

Na huenda hati ya muungano wanayo ila hofu yao ni yale yaliyoandikwa ndani ndio hawataki watu wayaone.
 
kwa nini tarehe na mwezi havikuchapwa wakati vilijulikana?
Kuna mtu kajaza tarehe na sahihi ya Karume, kwa sababu peni ya Nyerere ya blue ya Karume nyeusi.

Au ni kama wao wenyewe walijaza, nataka kujua, nani alijaza tarehe, Nyerere au Karume?

Na kwa nini pembeni ya kila sahihi hakuna tarehe?
 
uropokaji wa tundu lissu ni hatari sana kwa usalama wa nchi yetu na kwa usalama wake pia..ngoja tusubiri tuone
 
Then another step kuona kama hao wawakilshi walipigiwa kura, na wakati wanaenda bungeni walioga n.k #cheap politics[/QUOTE
]
Jaribu kupima na minyoo huwa inadumaza uwezo wa kufikiri baada ya hapo usile matunda kama nyani we si nyani ni sokwe
 

samahani mkuu naomba kuuliza,hivi waandishi ndio walioomba hii hati au wajumbe wa bunge la katiba?
 
Aina ya karatasi iliyotumika?
Kalamu ni speedo kwa mwandiko au zile za wino wa kibakuli?
Maana kila zama na mambo yake.

Jamani....
Mnapenda kuchokonoooooooa
Ukimchokonoa Pweza hatolika
Sasa mnataka Pinda atoe chozi tena?
Kubalini jamani....
Loh!
 

Waandishi wa TBCCM1 wanaijua saini ya Karume hadi wajue iliyopo kwenye makaratasi siyo feki?!
 
Kama wana siasa wote wangelikuwa wanafikiria hivyo mbona tungesogea mbali sana. Wanakomaa na hoja za kuongezeana vyeo tu...serikali tatu!

Kwani serikali mbili hazigawi vyeo?!
Unaweza kunambia kazi ya Prof. Mwandosya?!
Pili, ni kwa nini unadhani serikali tatu zitakuwa na vyeo vyingi kuliko tatu na vichache kuliko moja?!
 

Tunataka kujua yaliyomo kwenye hati hiyo (content), halafu ndipo tutajua kama waliyokubaliana yalifuatwa au yalibadilishwa, na kama ubadilishaji huo ulifuata utaratibu?
 
hawa viongoz nunda kweli!

mivutano ya muungano haijaanza jana wala leo; ni wa mda mrefu, sasa kwa nini hiyo hat ya muungano kipind cha nyuma wasiianike peupe ili kuondoa\kuepuka hizo "DHANA POTOFU" mpaka pale wanavyobanwa ndo waje waseme "ULIKUWEPO"

its nonesense
 

Mzee Mwanakijiji

Sikutarajia ati ungefananisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar na ndoa baina ya mwanamume na mwanamke. Kwa mfano, kati ya Tanganyika na Zanzibar, ni nani mwanamume na nani ni mwanamke? Sikutarajia Mzee Mwanakijiji ungethubutu kutumia mfano huu mfu.

Bado siamini ati Mzee Mwanakijiji unahoji kwa nini Watetezi wa Tanganyika wahoji uhalali wa muungano? Tangu lini Mzee Mwanakijiji hujui kuwa problematizing the normal ndio hujuza uimara ama ubovu wa normality? Tangu lini hulijui hili?

Ama Mzee Mwanakijiji unaamini malengo ya wachache sio kukuza demokrasia bali kubadilisha dola unayoitumikia hivyo kukosa mkate wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…