Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ati wanauliza hati ya muungano iko wapi. Waje kule ikulu mimi nilipoingia nimeiona...kuna kiti kizuri na meza kwenye chumba...na wakitaka kopi nitawapeleka Umoja wa Mataifa.
Mimi nashangaa sana kuona baadhi ya watu wanataka kujua ilipo hati ya muungano lakini hawajafanya juhudi za kuitafuta kwa sababu serikali inayo, na nakala yake ipo umoja wa mataifa.
Hati ya muungano ipo pale Ikulu kuna chumba na meza inayotumika kuwekea saini anaetaka kuiona aende Umoja wa Mataifa wanayo kopi. Hakuna haja ya kuhangaika.
Huo Umoja wa Mataifa anaozungumzia ni upi? Maana tunaoujua hakuna nakala kule.
Inadaiwa Karume nae alidai pamoja na kukaa Ikulu ya Zanzibar kwa miaka 10 hajawahi kuiona hiyo hati ya Muungano.
Serikali mbili ni kama huyu jamaa anajifunua kqnzu kwa kudhani kavaa bukta kumbe hajaivaa...so hakuna la maana ni ujinga na ushenzi mtupu
Watanzania kwa sasa wameamua hawataishi kwa uwongo tena
The living legendLissu anawapelekesha puta balaa