Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Ninachojiuliza bila majibu mujarabu ni kwamba kama hati hiyo ipo na ni genuine, kwanini wajumbe wa bunge la katiba walinyimwa wakati wa majadiliano kwenye kamati wakati rasimu ya katiba waliyokuwa wanaijadili ime-base kwenye hati hiyo???

Kutenda haki ni jambo moja...lakini kutenda haki na HAKI IONEKANE IMETENDEKA ni jambo lingine... haki ikitendeka kwa kucheleweshwa inakuwa si haki kamili....wanasheria watanielewa
 
ImageUploadedByJamiiForums1397590361.806267.jpgImageUploadedByJamiiForums1397590381.458579.jpg. Jaman tuiamin sahihi ipi ndio ya hayar Nyerere hapo ?
 
Kalamu iliyotumika ni ya wino "mgumu" wachunguzi wa mambo nawapa kazi.....kalamu za wino "mgumu" zilianza kutumika miaka ya 1980s kabla ya hapo kalamu zilikuwa za "wino maji". Chunguzeni. Mi simo!
 
Kalamu iliyotumika ni ya wino "mgumu" wachunguzi wa mambo nawapa kazi.....kalamu za wino "mgumu" zilianza kutumika miaka ya 1980s kabla ya hapo kalamu zilikuwa za "wino maji". Chunguzeni. Mi simo!

najifunza mengi sana kwenye hii thread
 
Hii ndio picha ya HATI YA MUUNGANO.....
Nimependa HAYATI KARUME alivyomalizia sahihi yake kwa chini.

D92A5133.jpg

Angali karume anaweka saini upande gani..utaona ni upande wa kushoto wa karatasi..hapa doc. Inaonesha saini yake ipo upande wa kulia !!
Na nyerere naye anasaini upande wa kulia wa karatasi...iangalie mwenyewe uamue
 
Attachments

  • 1397593055098.jpg
    1397593055098.jpg
    31.6 KB · Views: 204
Jingine naombeni mchunguze huo mstari wa chini wa nyerere haupo sawa yeye alizoea kuweka uliolala SAWASAWA kuna majina ya mistari ya hivyo kimahesabu wataalamu wanajua ila huu umelala MSHAZARI. Chunguzeni
 
Angali karume anaweka saini upande gani..utaona ni upande wa kushoto wa karatasi..hapa doc. Inaonesha saini yake ipo upande wa kulia !!
Na nyerere naye anasaini upande wa kulia wa karatasi...iangalie mwenyewe uamue

kwani aliweka sahihi kwenye karatasi moja??
 
Jingine naombeni mchunguze huo mstari wa chini wa nyerere haupo sawa yeye alizoea kuweka uliolala SAWASAWA kuna majina ya mistari ya hivyo kimahesabu wataalamu wanajua ila huu umelala MSHAZARI. Chunguzeni

huwa anatumia ruler??
 
Tatizo serikali haiaminiki tena kwa wananchi wake hata kama ni halisi!
 
Forgery ya wazi kabisa hii
Ukiangalia tafauti ya saini hizi za Karume na zile za Nyerere na ubichi wa wino uliotumika, nina wasi wasi kwamba hati hizi zilikuwepo kama "draft" bila ya kusainiwa. Iweje baada ya miaka 50 ya watu kuzidai ndio zinatoka leo ambapo tayari kimenuka?
Wataalamu wa Caligraphy na uchunguzi wa forgery na uhalifu mwengine watakuja kuweka mambo sawa.
 
Nchi zikiingia mkataba wowote ule pande mbili zinatia sahihi makubaliano nakala mbili kila upande unabaki na nakala. Zanzibar waonyeshe nakala yao original.
 
Back
Top Bottom