mendez
Member
- Jan 26, 2014
- 17
- 5
Ebu nisaidieni katika hizi saini mbili z karume ipi sahahi? Naona ikulu na ccm yake wamechemka hapo.View attachment 151648
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Forgery ya wazi kabisa hiiEbu nisaidieni katika hizi saini mbili z karume ipi sahahi? Naona ikulu na ccm yake wamechemka hapo.View attachment 151648
Kalamu iliyotumika ni ya wino "mgumu" wachunguzi wa mambo nawapa kazi.....kalamu za wino "mgumu" zilianza kutumika miaka ya 1980s kabla ya hapo kalamu zilikuwa za "wino maji". Chunguzeni. Mi simo!
Feki hizi, ukweli utajulikana
Hii ndio picha ya HATI YA MUUNGANO.....
Nimependa HAYATI KARUME alivyomalizia sahihi yake kwa chini.
![]()
Angali karume anaweka saini upande gani..utaona ni upande wa kushoto wa karatasi..hapa doc. Inaonesha saini yake ipo upande wa kulia !!
Na nyerere naye anasaini upande wa kulia wa karatasi...iangalie mwenyewe uamue
Jingine naombeni mchunguze huo mstari wa chini wa nyerere haupo sawa yeye alizoea kuweka uliolala SAWASAWA kuna majina ya mistari ya hivyo kimahesabu wataalamu wanajua ila huu umelala MSHAZARI. Chunguzeni
Ukiangalia tafauti ya saini hizi za Karume na zile za Nyerere na ubichi wa wino uliotumika, nina wasi wasi kwamba hati hizi zilikuwepo kama "draft" bila ya kusainiwa. Iweje baada ya miaka 50 ya watu kuzidai ndio zinatoka leo ambapo tayari kimenuka?Forgery ya wazi kabisa hii
sasa wewe unadhani zimeandikwa lini?