Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

hapo kuna walakini mkubwa katika hati hiyo labda imefojiwa ikiwa watasema haikufojiwa ni kwanini imechelewa kuwakilishwa ili wajumbe waichunguze na kuihakiki....?! Only in Tanzania
 
Heshima kwenu wanajumuiya!

Naomba kama kuna aliyehudhuria mkutano wa katibu mkuu kiongozi na waandishi wa habari jana atupie nakala ya hati muungano ili tupate kuiona

Asante.
 
Taarifa hii ya IKULU ya Tanganyika inachanganya kidogo.

Mwaka jana (2013) kwenye uzinduzi wa sherehe za miaka 36 ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Shein alinukuliwa akisema maneno yafuatayo:

Ati wanauliza hati ya muungano iko wapi. Waje kule ikulu mimi nilipoingia nimeiona...kuna kiti kizuri na meza kwenye chumba...na wakitaka kopi nitawapeleka Umoja wa Mataifa.

Mimi nashangaa sana kuona baadhi ya watu wanataka kujua ilipo hati ya muungano lakini hawajafanya juhudi za kuitafuta kwa sababu serikali inayo, na nakala yake ipo umoja wa mataifa.

Hati ya muungano ipo pale Ikulu kuna chumba na meza inayotumika kuwekea saini anaetaka kuiona aende Umoja wa Mataifa wanayo kopi. Hakuna haja ya kuhangaika.

Cc Nguruvi3, JokaKuu, Mag3, EMT


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Taarifa hii ya IKULU ya Tanganyika inachanganya kidogo.

Mwaka jana (2013) kwenye uzinduzi wa sherehe za miaka 36 ya CCM, Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Shein alinukuliwa akisema maneno yafuatayo: Cc Nguruvi3, JokaKuu, Mag3, EMT

Huo Umoja wa Mataifa anaozungumzia ni upi? Maana tunaoujua hakuna nakala kule.

Inadaiwa Karume nae alidai pamoja na kukaa Ikulu ya Zanzibar kwa miaka 10 hajawahi kuiona hiyo hati ya Muungano.
 
Huo Umoja wa Mataifa anaozungumzia ni upi? Maana tunaoujua hakuna nakala kule.

Inadaiwa Karume nae alidai pamoja na kukaa Ikulu ya Zanzibar kwa miaka 10 hajawahi kuiona hiyo hati ya Muungano.

Hivi maana yenu ni nini haswa t?........hati ilichanwa chanwa au ilitupwa au Nyerere kasepa nayo !?.........mbona mnadai kitu ambacho mna amini hakipo !??
 
Nduguni zanguni hiyo hati ya muungano ni fake na kuna wataalamu wa kutengeneza signature wapo hapo posta jirani na BILICANA kijiwe cha AZAM MJINI pia naomba ikumbukwe kuwa cccm ni wachakachuaji NA HII KATIBA WANATAKA KUITENGEBEZA KI CCM CCM hii katiba ciyo ya chama ni wanainchi NAULIZA KWA NN HATI HIYO HAIKULETWA BUNGENI TOKA MWANZO? Kuna walakini
 
Serikali mbili ni kama huyu jamaa anajifunua kqnzu kwa kudhani kavaa bukta kumbe hajaivaa...so hakuna la maana ni ujinga na ushenzi mtupu

jamani duniani kuna vituko!
 
Watanzania kwa sasa wameamua hawataishi kwa uwongo tena

Inawezekana vipi mtu aliyeaminiwa na kuteuliwa kuwa mjumbe wa bunge maalum la katiba kutoa matusi makubwa kama yalivyotolewa na yule mama hadharani? Hawa kweli ndo watu watakaotuletea katiba? Ina maana hawa watu wanalipwa kwa umaahiri wao wa matusi? Ina maana m/kiti aliridhia matusi yale ndo maana hakukemea? Haikubaliki.
 
Mimi nadhani huyo mama huwenda hakulelewa vyema ama amerithi vitabiatabia vya mitaani. Na nadhani hana sifa ya kuwa kiongozi. Sasa kwa yale matusi yake ndo ataleta katiba tunayoitarajia? na sijui ni nani aliyemtuma kule wakati wapo watu wenye hekima zao tunao huku mitaani na hawakupata nafasi kwenda bungeni. mi nadhani ilipaswa atolewe bungeni na asipewe posho mpaka bunge litakapomalizika
 
Mimi nawapongeza sana wote waliosema kuwa hati ya muungano haipo mana bila wao sisi wanainchi tusingejua chochote kuhusu uhalali wa muungano pamoja na mambo mengine.
 
Halafu viongozi wa CCM wanadhani watanzania wote sisi ni wapumbavu au? Ile waliyosema ipo hata UN ni ipi na hii waliyowaonyesha waandishi ni ipi... maana kila mtu anajua response kutoka UN kuhusu hiyo hati kuwa haipo na hawajawahi kuiona!!!! Andrei Kolomoets anajua.

Na muda wote CCM walikuwa wakileta ngebe ni kwamba walikuwa wanajipanga kuchakachua!!

Time will tell...
 
Back
Top Bottom