nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Kwani msimamo wao ni wa kutambua serikali tatu au mbili? Kama wanapendelea serikali tatu ndo maana wameachwa na ikulu yetu tukufu! Ccm kwanza,taifa baadae!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini sisi tulitaka kakobe buana.Ikulu imetoa taarifa ndefu kuhusu madai ya maaskofu wa pentekoste (PCT) kuwa wametengwa kwa mjumbe wao kutokuchaguliwa katika bunge la katiba licha ya kupeleka majina kwa rais.
Kwa ufupi ikulu imesema baada ya uchunguzi imegundua kuwa maaskofu wa pentekoste hawakuwasilisha majina kwa njia ya kawaida, kujiteua ama kwa kuchelewa kwani database ya ikulu haijaonyesha ripoti ya maaskofu hao kutuma majina kwao.
Aidha ikulu imesema mjumbe mmoja alieteuliwa kwenye taasiai za dini Bi Edna Adam ametoka kanisa la EAGT ambao ni miongoni kwa wanachama wa baraza la maaakofu wa Pentekoste licha ya kwamba jina lake liliwasilishwa na taasisi nyingine ya dini na sio Baraza hilo la Maaskofu wa Pentekoste. Hivyo ikulu imewaomba maaskofu hao kumtumia mjumbe huyo kama mwakilishi wao na kuwa watawakilishwa kikamilifu.
Nitaiweka statement yote later licha ya kwamba ni ndefu sanaaa.
Hata Mtikila ni Pentecoste si wangle sema ndio mwakilishi wao? Kingunge anawasilisha wachawi, JK angeweka waliookoka si majini ya Kingunge yangekosa nguvu...
poleni maaskofu, hata hivyo wajumbe hawaendi kuandika biblia mpya isuiwaume sana ya kaizer mwachieni kaizer, au ninyinyi ni maaskofu maslahi???
Miye wa nne
mbona mnalala sana mlikuwa wapi siku zote?