ndio ni wapuuzi ....kwani uwakilishi kwa wakristo upo..... period.....
......kwa hiyo ndio nyinyi maaskofu wapuuzi mliowaagiza waumini wenu wamuue Mabina eeh?.......wapuuzi kabisa....sijui ni elimu dunia gani mliyopitia........
Duuh! ni vizuri kufikiri zaid kabla ya kutamka, kuwaita hawa watu kuwa ni wapuuzi inaweza kuwa c vema sana, hivi tuna uhakika gani na kile Ikulu inadai, kwan hii c mara ya kwanza watu hawa kupuuzwa.
MUNGU IREHEMU TANZANIA