Kwani wanaenda kutunga katiba ya madhehebu ya dini kule?? Tukianza kila dhehebu lilalamike kupeleka wawakilishi itakuwa jambo la ajabu sana... maana waislamu nao watadai wajumbe wa Sunni, shiya, ahmadia, nk..... issue hapo ni kwamba, viongozi wa dini wapo wa kutosha kule bungeni.... watapeleka mawazo yao...