Ikumbukwe kuwa Tume ya Uchaguzi na Wakurugenzi ni watu, wakidhibitiwa 2025 hili genge linalowadharau Watanzania halishindi uchaguzi kwa namna yoyote

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.

Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.

Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa.

Kupinga dharau za timu Chalinze na genge lao la air Chalinze linavyowadharau watanzania.

#2025 mapema tu mafisadi hawatoboi.
 
Wasimamizi tunawapa na kangara ili wawe waaminifu 🚶🚶
 
CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.

Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.

Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa.

Kupinga dharau za timu Chalinze na genge lao la air Chalinze linavyowadharau watanzania.

#2025 mapema tu mafisadi hawatoboi.
Ngoma inakuja nani anawateua? ni ngumu kumesa
 
CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.

Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.

Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa.

Kupinga dharau za timu Chalinze na genge lao la air Chalinze linavyowadharau watanzania.

#2025 mapema tu mafisadi hawatoboi.
Suala la kushinda au kushindwa uchaguzi ni namna unavyojipanga kushughulikia kero za wananchi tu hizi ngonjera za kudhibiti Tume au Wakurugenzi ni vichaka vya kujifichia tu
 
Tanzania kuna utoto mwingi sana.

Mwaka 2020 kuna vijana wa UVCCM waliingia kwenye polling stations na kujifanya mawakala wa vyama vya upinzani kumbe ni mamluki.
 
CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.

Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.

Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa.

Kupinga dharau za timu Chalinze na genge lao la air Chalinze linavyowadharau watanzania.

#2025 mapema tu mafisadi hawatoboi.
🤣🤣🤣🤣Tuliwambia mkawa wabishi sasa kibao kimegeuka.
. mtakoma 2025 mtashughulikiwa kisawa sawa.

Ole wenu mlete nyenyenyeee: tiss ni ya Mama , MaDC wa Mama, Majeshi yoote
 
Suala la kushinda au kushindwa uchaguzi ni namna unavyojipanga kushughulikia kero za wananchi tu hizi ngonjera za kudhibiti Tume au Wakurugenzi ni vichaka vya kujifichia tu
Acha uongo 2020 ule haukuwa uchaguzi. Nakataa
 
CCM ni sawa na beberu kwenye zizi lenye magegedu wa kila aina. Nguvu ya umma pekee ndio inaweza kuitoa CCM madarakani.

Maradhi, Ujinga na Umasikini wa watanzania ndio silaha ya CCM kuwepo madarakani. Mbinu ni ileile Divide and Rule.

Hatuna chama makini cha upinzani. Kikipatikana ndio judgement day kwa CCM.
 
CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.

Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.

Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa.

Kupinga dharau za timu Chalinze na genge lao la air Chalinze linavyowadharau watanzania.

#2025 mapema tu mafisadi hawatoboi.
Muende kupiga kura, muamke asubuhi na mapema kwa kazi hiyo. Kulialia humu jukwaani halafu wanaopiga kura ni kinamama na wazee ni kupoteza tu muda.
 
Wamelewa madaraka hao viongozi wetu.

Wanatoa tu kauli za kututishia.

Kama kazi hawawezi si waache, kwani ni lazima watuongoze wao??
 
Hiyo si ndio legacy ya jiwe mnaemtetea kila siku?
Kikwete na mabaya yake yote angalau aliweza kuacha chaguzi zetu zikawa na credibility kiasi, ila hilo dubwana mnalolililia kila siku...Dah
 
Back
Top Bottom