Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Wasimamizi tunawapa na kangara ili wawe waaminifu 🚶🚶CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.
Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.
Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa.
Kupinga dharau za timu Chalinze na genge lao la air Chalinze linavyowadharau watanzania.
#2025 mapema tu mafisadi hawatoboi.
Ngoma inakuja nani anawateua? ni ngumu kumesaCCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.
Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.
Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa.
Kupinga dharau za timu Chalinze na genge lao la air Chalinze linavyowadharau watanzania.
#2025 mapema tu mafisadi hawatoboi.
Suala la kushinda au kushindwa uchaguzi ni namna unavyojipanga kushughulikia kero za wananchi tu hizi ngonjera za kudhibiti Tume au Wakurugenzi ni vichaka vya kujifichia tuCCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.
Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.
Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa.
Kupinga dharau za timu Chalinze na genge lao la air Chalinze linavyowadharau watanzania.
#2025 mapema tu mafisadi hawatoboi.
Tanzania kuna utoto mwingi sana.CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.
Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.
Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa.
Kupinga dharau za timu Chalinze na genge lao la air Chalinze linavyowadharau watanzania.
#2025 mapema tu mafisadi hawatoboi.
🤣🤣🤣🤣Tuliwambia mkawa wabishi sasa kibao kimegeuka.CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.
Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.
Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa.
Kupinga dharau za timu Chalinze na genge lao la air Chalinze linavyowadharau watanzania.
#2025 mapema tu mafisadi hawatoboi.
Kibao kimegeuka. Ndio hawa hawa wanalialiaTanzania kuna utoto mwingi sana.
Mwaka 2020 kuna vijana wa UVCCM waliingia kwenye polling stations na kujifanya mawakala wa vyama vya upinzani kumbe ni mamluki.
Acha uongo 2020 ule haukuwa uchaguzi. NakataaSuala la kushinda au kushindwa uchaguzi ni namna unavyojipanga kushughulikia kero za wananchi tu hizi ngonjera za kudhibiti Tume au Wakurugenzi ni vichaka vya kujifichia tu
Muende kupiga kura, muamke asubuhi na mapema kwa kazi hiyo. Kulialia humu jukwaani halafu wanaopiga kura ni kinamama na wazee ni kupoteza tu muda.CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau.
Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana.
Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa.
Kupinga dharau za timu Chalinze na genge lao la air Chalinze linavyowadharau watanzania.
#2025 mapema tu mafisadi hawatoboi.
Madaraka matamuWamelewa madaraka hao viongozi wetu.
Wanatoa tu kauli za kututishia.
Kama kazi hawawezi si waache, kwani ni lazima watuongoze wao??