Ikumbukwe Tundu Lisu alipokutana na Rais Samia Ubelgiji ndiye alimuomba awaachilie Wafungwa wa kisiasa wa CHADEMA akiwemo Mbowe!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Tunakumbushana tu kwamba kabla maaskofu Watatu na Mufti hawajamfata Mbowe gerezani Makamu Mwenyekiti Tundu Lisu alishapeleka ombi la Freeman Mbowe na Wafungwa wengine wa kisiasa waachiwe

Rais Samia alikutana na Tundu Lisu nchini Ubelgiji na ndipo Tundu Lisu alipomuomba Rais amwachilie Mbowe kwani Chadema haiwezi kufanya mazungumzo yoyote na CCM ilhali Mwenyekiti wao yuko magereza

Mlale unono ๐Ÿ˜„
 

View: https://x.com/IAMartin_/status/1494044141227069444?t=41tqC4Ri7voBSd_kx_ZVSA&s=19
 
Una maana Lissu ni chawa wa mama siyo?
 
Lkn hakusema aje kuwa chawa
 
Point
 
Ahsante sana๐Ÿ˜„

Hiyo Namba 6 ndio Maridhiano halafu Mwamba Mbowe akayateka peke yake ๐Ÿผ
Lissu anasema haya yalikuwa ni mapendekezo tu kwenda kwenye maridhiano, aliporudi akakuta hakuna hata document za vikao na mambo waliyokubaliana, wakaanza upya CCM wakakimbia, na bado Mwamba akampa tuzo Mwenyekiti wao.
 
Kama hii ni kweli Mbona huyo Lisu juzi kasema hakuna maridhiano, na hajui walikuwa wanaridhiana nini?

Huyu mtu atakauwa mgonjwa wa akili.

Lisu aanzishe chama chake cha mihemko, abebe na nyomi lake waende huko.
Kwanza sidhani ni sawa kumuita Lissu ana ugonjwa wa akili, siwezi kukuiyta wewe hivyo, sikiliza alichosema na kumwelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ