johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tunakumbushana tu kwamba kabla maaskofu Watatu na Mufti hawajamfata Mbowe gerezani Makamu Mwenyekiti Tundu Lisu alishapeleka ombi la Freeman Mbowe na Wafungwa wengine wa kisiasa waachiwe
Rais Samia alikutana na Tundu Lisu nchini Ubelgiji na ndipo Tundu Lisu alipomuomba Rais amwachilie Mbowe kwani Chadema haiwezi kufanya mazungumzo yoyote na CCM ilhali Mwenyekiti wao yuko magereza
Mlale unono 😄