Ila baridi, nakula lakini nasikia njaa haraka baada ya kulaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ....

Kwa biology yangu ya Advance

Kipindi cha baridi mwili unakua una kazi mbili kwa pamoja kuzalisha joto mwilini na ukuaji wa mwili kwaio ATPs nyingi zinatumika kipindi cha baridi ndo mna mtu anajikuta anakula sanaa kipindi cha baridi kuliko kipindi cha joto

Ni maelezo marefu ila apo inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…