Ila Gen Z wanatisha: Rais Ruto afuta Bajeti ya Ofisi ya Mke Wake!


Umesahau madiwani, maDC na maRC mpk watendaji wa mitaa na mabalozi wa nyumba kumi.
 
Kwetu sisi Mbunge wa Mchinga anataka hata wake wa marais wastaafu waongezewe zaidi
 
Wakati Kenya bajeti ya Ofisi ya Mke wa Rais inafutwa huku Tanzania bajeti ya kuwalipa viinua mgongo, mafao na marupurupu wake za ma-Rais zinaanzishwa.
Siku yaja vuta subra mabadiliko ni lazima hata kama sio leo hakuna Taifa linaweza kuendeshwa kwa style hiyo Dunia ya sasa
 
He is not doing that because is scared of them ….he is humble and listener president…
 
Hakika Gen Z wa Kenya wamemuweza Mh. Ruto. I wish vijana wa Tanzania nao wangeijua thamani yao katika mustakabali wa kujenga future yao Tanzania.
 
Ruto kaonesha udhaifu mkubwa, angwachia ngazi tu.
 
Gen Z binadamu, wana elimu, exposure, wanajitambuwa, wanajuwa haki zao, wabongo hatuwawezi kabisa..
Tumekalia haya mambo chini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…