Ila Gen Z wanatisha: Rais Ruto afuta Bajeti ya Ofisi ya Mke Wake!

Ila Gen Z wanatisha: Rais Ruto afuta Bajeti ya Ofisi ya Mke Wake!

Huku kwetu viongozi wetu wamepitisha sheria kuwa tuwalipe wake zao.

Yaani ni sheria ya Bunge kabisa.
 
Huku kwetu viongozi wetu wamepitisha sheria kuwa tuwalipe wake zao.

Yaani ni sheria ya Bunge kabisa.
Waongeze na mabeki tatu wao hakuna shida tutawalipa wote,sisi ni matajiri, nilimsikia Mwendazake akisema!!
 
Wakenya kuuwana hawajaanza leo,na kila wakipata nafasi ya kuuwana huwa wanauwana kweli!!
Nakumbuka Kikwete alipokwenda kuwapatanisha wakawacha kuuwana, wakati wa mungiki. Naona sasa wamelianzisha tena.

Kikwete yupo watakwenda kuwapatanisha.
 
Sisi hatuwezi hufanya huo ujinga, mke wa Rais ni mtumishi wa umma na ni lazima awe na bajeti yake. Wake wa Marais wastaafu pia ni lazima wawe na Bajeti.

Bado tunaangalia utaratibu mbeleni kama wenza wa wabunge pia na wao wawe wanapata posho wakati waume/ wake zao wanalitumikia taifa Bungeni.

CCM oyeee !!

Hutaki - tangulia Burundi.
Mkuu na wewe unaweza kuwepo kwenye kundi la Gen Z?
 
Nakumbuka Kikwete alipokwenda kuwapatanisha wakawacha kuuwana, wakati wa mungiki. Naona sasa wamelianzisha tena.

Kikwete yupo watakwenda kuwapatanisha.
Koffi Anaan ndiye aliyetupatanisha. Kikwete alikuwa tu kama observer. Ni kama vile unapokuwa na mgeni kwa nyumba yako unatengeneza dinner alafu jirani anatokea.
 
Back
Top Bottom