Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Hayo yamesemwa jana CH. Dereva wa Wenje alikasirika na kuamua kuacha kazi baada ya kuona Boss wake hana utu. Yaani lile fuko ambalo alikabidhiwa na Abdul alishindwa hata kuchomoa milion 1 akampa dereva?
Lissu alileta mapozi. Akazikataa pesa. Ukisusa wenzio wanakula. Hata mimi ngekuwa Wenje na uhuu upwiru ngechukua tu. Lakini alikosea sana. Dereva mpo naye na anasikia hizo deals zote. Mnashindwa mpa hata Kamilion 1? Dereva aliona fuko la ndarama limeachwa kwa Wenje akagawane na wenzie.
Yeye akitegemea pia angaa angeshikwa mkono hata na kidogo. Akaambulia patupu? Kwa hasira akaacha kazi. Na sasa anasema kama atabishiwa au kukanushwa atayasema mengi zaidi.
Tusiwe tunawasahau hawa madogo nao wana mchango kwenye issues zetu.