Ila hawa wazazi wanaowatelekeza watoto wao vyuoni wana maana gani?

Ila hawa wazazi wanaowatelekeza watoto wao vyuoni wana maana gani?

Ni nani kati ya msomi na asiye msomi anaweza kuwa na mafanikio makubwa sana ? Maana nachanganywa


  • Total voters
    2

EDIGAR JO

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2024
Posts
422
Reaction score
444
Mtoto ulimlea mwenyewe kwa kutshughulisha na akija chuo na akapewa fedha za kujikimu unaona kana kwamba shida zimeisha .
Mfano
★Anaenda hana nguo za kumtosha
★Hana simu janja wala PC
★Anaenda hana fedha ya hakiba .
Na bado haitoshi gharama za bima na malipo mengine ayafanye yeye kwa kigezo anamkopo.
Mimi Nadhani watanzania mliosoma muwashauri wazazi hawa .
Kwanza hata wanaosoma na kumaliza Kiukweli huwa hawawezi wakawa washindani wa wenzao maana hisia za unyonge na za kukosa fedha zipo ndani yao siku zote amani wataitoa wapi w.
Au nyie wakina ndugu mnashaurije jambo hili ????
Naomba msituweke sisi mission town gentlemens
 
Back
Top Bottom