Ila hii nchi iliwahi kupata wanasiasa aina yake aisee!

Ila hii nchi iliwahi kupata wanasiasa aina yake aisee!

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Screenshot_20220912-134324.jpg


"Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mhe. Paul Makonda, amezindua zoezi la kupuliza dawa katika maeneo tofauti ya Mkoa wake Ili kuua vidudu vinavoeneza ugonjwa wa Corona (COVID 19)"
 
HV ilikuwaje makonda akaogopega Sana na huyu baba Kia's kwamba magu mwenywe anaogopa kukaripia adharani na hata akimkaripia Ni neno moja tu anatulia Ila wengine watafokewa vibaya mno

Siyo bure Kuna kitu hatukujuwa hatujui

Swal je makonda hakushauriwa na magu kuhusu kugombea ubunge

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Beautiful old days in Dar !!! mpaka nammic aisee, nahizi tozo. hatukumbushwi hata kuoga siku hzi
 
  • "Kama hutaki tozo hamia Burundi" itakuwa kumbukumbu, kama tunavyokumbuka "Hata mle nyasi, ndege ya Raisi lazima itanunuliwa" - B. P. Mramba.
  • Kila atendalo binadamu linaweka akiba.
 
Back
Top Bottom