"Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mhe. Paul Makonda, amezindua zoezi la kupuliza dawa katika maeneo tofauti ya Mkoa wake Ili kuua vidudu vinavoeneza ugonjwa wa Corona (COVID 19)"
HV ilikuwaje makonda akaogopega Sana na huyu baba Kia's kwamba magu mwenywe anaogopa kukaripia adharani na hata akimkaripia Ni neno moja tu anatulia Ila wengine watafokewa vibaya mno
Siyo bure Kuna kitu hatukujuwa hatujui
Swal je makonda hakushauriwa na magu kuhusu kugombea ubunge